Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jukwaa limeanzishwa lini na kwanini akamatwe wakati mtu mwenyrwe hajafanya hata mkutanoMwenyekiti wa jukwaa la kudai Katiba mpya.
Ni mtu mdogo sana sema serikali inapenda kutumia nguvu hata kwa vitu visivyo na madhara.
Hao ndiyo wafuasi wa kundi lile la chatoUtekaji umepungua sana, enzi za nanihii hii hali ilitisha! Mleta mada wacha kupotosha
Acheni kutetea ushenzi,kwanini yasiishe yapungue tuUtekaji umepungua sana, enzi za nanihii hii hali ilitisha! Mleta mada wacha kupotosha
Wewe umejuwaje Kama ni Serekali!?Mwenyekiti wa jukwaa la kudai Katiba mpya.
Ni mtu mdogo sana sema serikali inapenda kutumia nguvu hata kwa vitu visivyo na madhara.
Kwani kakamatwa au katekwa!? Kukamatwa na kutekwa ni vitu viwili tofauti kabisa!!Hilo jukwaa limeanzishwa lini na kwanini akamatwe wakati mtu mwenyrwe hajafanya hata mkutano
We ni nani hasa unayemuamuru mhe Rais??? nyambafff!!Kituo cha sheria na haki za binadamu kinalaani kitendo cha kutekwa na watu wasiojulikana kwa mwenyekiti wa kamati ya kudai katiba mpya ndugu Abubakar Fambo
View attachment 1800127
My take:
Tunataka serikali ya Samia iache mara moja vitendo vya utekaji watu kwa sababu tu wanataka kutumia haki yao ya kikatiba kutaka mabadiliko chanya nchini.
Tulidhani hivi vitendo vya kishenzi vingeisha mara tu ya yeye kuapishwa, lakini kumbe ni mwendelezo uleule wa kutaka kuminya haki na uhuru wa wananchi.
Katiba mpya ni hitajio la wananchi, haliwezi kuzimwa kupitia Utekaji na Kutumia watu wasiojulikana kunyanyasa na kuintimidate watu.
Tunamtaka Samia aachane na staili ya Magufuli, kutumia njia zisizo za kisheria kwenye kudeal na mambo ya wananchi.
Sisi tunaomuunga mkono rais Samia, tunapata huzuni tukianza kuona tena vitendo vya watu wasiojulikana maana hivi ni vitendo vilivyotufanya tukauchukia utawala wa Magufuli.
Tunaitaka serikali imuachie ndugu Fambo mara moja hajatenda kosa lolote!
Alisema yeye na Magufuli ni kitu kimoja pengine alikuwa anamaanisha lakini labda pia Kuna genge lina muhujumu nani anayejua mkuu.Tulidhani hivi vitendo vya kishenzi vingeisha mara tu ya yeye kuapishwa, lakini kumbe ni mwendelezo uleule wa kutaka kuminya haki na uhuru wa wananchi.
Kutaka katiba mpya ni kuichokonoa Jamhuri kivipi?Yaani mnaichokonoa jamhuri mkinyooshwa kelele kibao..watanzania bana