LHRC: Tunalaani utekwaji wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA)

LHRC: Tunalaani utekwaji wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA)

Kituo cha sheria na haki za binadamu kimelaani utakejai wa viongozi wawili kana alhamisi na watu wasiojulikana.

Kama Samia atarithi hizi tabia za mwendazake, basi hatuna budi kumkosoa na kumpinga vikali. Na azma yake ya kuvuta uwekezaji utashindikana kwa namna hii maana inachafua nchi.

Ajiulize, is this the path she wants yo tread, it's up to her!!
View attachment 1800199

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app

E0NhMwdXIAAW0HL.jpeg
 
Mnachekesha. Kwa hiyo mlidhani kwamba suala la kuweka watu kwenye custody (nyie mnaita kuteka) ni suala la aina ya mtu aliyepo ikulu?

Yaani vyombo vya ulinzi na usalama vifanye uchunguzi wake vijiridhishe kwamba watu au mtu fulani ni tishio kwa usalama wa nchi, report ipelekwe kwa kiongozi wa nchi, halafu kiongozi wa nchi asite kuamuru detention kisa ataonekana sawa na yule mwingine aliyepita? Huu utakuwa utoto sasa.

Turudie kusema, hakuna kitu chochote alichokifanya JPM ambacho hakikutakiwa kufanywa kwa mazingira ya nchi aliyorithi kutoka kwa mtangulizi wake. Hadi 2015, nchi ilishakaribia kuwa a failed state na hicho mnachokiita kutekana ilikuwa ni safisha safisha kurudisha law and order. Mama kwa muda mfupi aliokalia kiti ashaanza kusoma gemu. Hii nchi ngumu sana, akicheka na nyani atakula mabua.
Huo ndio ukweli
 
Ajabu sana, haya mambo yatakuwa yanafanywa bila yeye kujua, kwa muonekano wake Rais hafanani na hayo matendo, anatakiwa atoe tamko kali awaamshe usingizi wale wanaodhani bado tuko awamu ya tano.
Awamu ni jambo la kinadharia tu ndio maana awamu zinabadilika ila watu ni walewale hivyo huwezi kutegemea kitu tofauti kwa watu walewale.
 
swa kabisa mkuu kuna vichwa huw linapokuja suala la pesa wanauza nchi kabisa kama kina kabendera kwa sura ya machoni wanatia huruma lakini wangefaulu mision zao nchi inalia machozi wao wanacheka na watu kama uamsho sasa hivi mnawahurumia lakini mbona mngeomba poo
Waambie wapuuzi hao mtu anaisaliti nchi aachwe tu. Thubutuu itakuwa nchi ya namna gani hiyo ?
 
Watu wa Mwendazake ndio akina nani ikiwa Serikali hii awamu ya sita ikiwemo Rais wetu Mamá Samia, Makamu wake Dr Mpango, PM Majaliwa na watendaji wengi waliomo ni sura ile ile ya awamu iliyopita!???

Au Mamá Samia na Dr Mpango ni zao la upinzani!????

Acheni kutuvurugia nchi enyi wapuuzi wa ufipa
Chama lao limewashinda wanabaki kutengeneza matukio ya ajabu ajabu. Mimi hilo lichama lao sijawahi kulikubali hata siki moja ndio maana mtu mmoja aliwahi kusema kwamba katika li chama hilo wimbo wa Bwana hauimbiki. Alikuwa sahihi kabisa.
 
Tatizo mkipewa Uhuru mnautumia vibaya.Kwa kweli nilitarajia kwa ustaarabu wa mama hata kauli za wapinzani ziwe za kistaarabu.Lakini kinyume chake ninawasikia chadema wakianza ile mikwara mbuzi yao na kuongea kama wanafokea mtu.
Hakuna atakayewaona mashujaa wala makamanda kwa kauli zenu za kibabe wakati huu wa mama kwa kuwa tumeshawaona mlivyonyooshwa na mkawa wapole wakati wa JPM.

Hivi kwani mkiongea kistaarabu kwani hamtaeleweka?Mtu kawa mpole kwenu mnataka kumpanda kichwani?
 
Back
Top Bottom