LHRC: Tunalaani utekwaji wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA)


 
Huo ndio ukweli
 
Ajabu sana, haya mambo yatakuwa yanafanywa bila yeye kujua, kwa muonekano wake Rais hafanani na hayo matendo, anatakiwa atoe tamko kali awaamshe usingizi wale wanaodhani bado tuko awamu ya tano.
Awamu ni jambo la kinadharia tu ndio maana awamu zinabadilika ila watu ni walewale hivyo huwezi kutegemea kitu tofauti kwa watu walewale.
 
Waambie wapuuzi hao mtu anaisaliti nchi aachwe tu. Thubutuu itakuwa nchi ya namna gani hiyo ?
 
Chama lao limewashinda wanabaki kutengeneza matukio ya ajabu ajabu. Mimi hilo lichama lao sijawahi kulikubali hata siki moja ndio maana mtu mmoja aliwahi kusema kwamba katika li chama hilo wimbo wa Bwana hauimbiki. Alikuwa sahihi kabisa.
 
Tatizo mkipewa Uhuru mnautumia vibaya.Kwa kweli nilitarajia kwa ustaarabu wa mama hata kauli za wapinzani ziwe za kistaarabu.Lakini kinyume chake ninawasikia chadema wakianza ile mikwara mbuzi yao na kuongea kama wanafokea mtu.
Hakuna atakayewaona mashujaa wala makamanda kwa kauli zenu za kibabe wakati huu wa mama kwa kuwa tumeshawaona mlivyonyooshwa na mkawa wapole wakati wa JPM.

Hivi kwani mkiongea kistaarabu kwani hamtaeleweka?Mtu kawa mpole kwenu mnataka kumpanda kichwani?
 
Pole yake sana, ukinizingua tunazinguana, msisahau lakini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…