Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana


Umeandika utoto gani hapa dogo? Hata kuandika kwenyewe hujui. Zingatia kuweka space baada ya koma, na matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
 
Wanaendekeza siasa za kishenzi, huyo mama wa US kawahoji maswali ya msingi ndio wanajifanya kutoa hadithi za kuchomekea. Hawa viongozi wetu ndio wanachangia wazungu kuendelea kutufananisha na nyani
Hivi kweli kwa akili za Hawa viongozi tutapata maendeleo kweli,siasa za kishamba zinalingamiza Taifa.
 
Nchi sio familia ya mtu ,nchi inaongozwa kwa katiba nenda shule uelimike.
 
Nchi sio familia ya mtu ,nchi inaongozwa kwa katiba nenda shule uelimike.
yaani wewe ndiyo ungekuwa kiongozi nchi ingekushinda asubuhi tu nyie kiboko yenu jpm mlikuwa hamkohoi hapo huyu mama anahuruma lakini ogopa sana akibadirika mtaumia vibaya sana
 
yaani wewe ndiyo ungekuwa kiongozi nchi ingekushinda asubuhi tu nyie kiboko yenu jpm mlikuwa hamkohoi hapo huyu mama anahuruma lakini ogopa sana akibadirika mtaumia vibaya sana
Hauko sawa kichwani Naona akili zimejaa kamasi nani alikudanganya ili chi iende mbale kiuchumi ni nguvu zinatumika?Nchi huongozwa kwa akili na sio ubabe wa kishamba,Elimika.
 
Uongo ULIOTUKUKA HUU! Pressure inapanda pressure inashuka.
 
Baada ya ratiba kuingiliana ndio ukazaliwa Ugaidi wa mbowe?
 
Mulamula aseme ukweli tu, SSH alipanga kukutana na wapinzani wote halafu CDM wakaleta kelele na yule kijana aliposema atamnyoa basi akaona hawa sio wa kuwaendekeza.

Akawapotezea, SSH bado anawenge la urais, anataka kufanya mengi muda mdogo. pale anapoonyesha roho safi halafu mkamzingua basi anafanya jingine kwanza hayo myatakayo yatakuja baadae.

Upinzani wakiwa smart watapata mengi kipindi hiki ila wakitaka kumburuza huyu mama mambo hayataenda maana ataona wanamdharau kwa sbb yy ni mwanamke au kwa sbb hakugombea urais. CDM na upinzani wote wawe smart tu kudeal na huyu mama wambembeleza atawasaidia saana. sheria za ajabu ajabu zitanyooka na huku mbelen kutakuwa na neema
 
Wewe ni mwanamke!
 
Reactions: BAK
Watalegea tu. Ratiba itakaa sawa lini? i hope wiki mbilo hazitapita.
 
Usimlishe maneno Mulamula
 
ID za kulipwa
 
Reactions: BAK
Hio katiba wew hutashiriki kuiunda? Au wataitoa chadema peke yao?
 
Samia aendelee kuonea wapinzani kwa sababu kashika Bunduki na Mabomu,wala siye hatuna shida ya kukutana na Samia,hana faida yoyote kwa Taifa aende zake huko
 
Reactions: BAK
Wanaendekeza siasa za kishenzi, huyo mama wa US kawahoji maswali ya msingi ndio wanajifanya kutoa hadithi za kuchomekea. Hawa viongozi wetu ndio wanachangia wazungu kuendelea kutufananisha na nyani
Kumbe ndio maana wametoka nje kupayuka 😅😅😅eti ratia ziliingiliana
 
Wamarekani wenyewe pamoja na ukubwa wao, pamoja na kuwa na miaka zaidi ya mia 2 tangu wapate uhuru, pamoja na kuwa taasisi imara kwa ngazi zote..Lkn walikataa kabisaa kuongozwa na Rais Mwanamke. Hilary Clinton pamoja na kwamba aligombea na mgombea dhaifu kabisaa Donald trump, lkn wamarekani waliona bora trump kuliko mwanamke. Mama yetu ameshaonyesha kuwa kazi ya urais siyo mchezo. Mama ni dhaifu Sana, washauri wake wanamdanganya kwa kumwambia usipowapiga chadema watakudharau kwa sababu we ni mwanamke.

Mama ni dhaifu Sana, watu wanaomdharau nadhani yeye mama hajawajua. Labda nimwambie hapa mama, hakuna mtu anamdharau km mwigulu nchemba. Huyu jamaa ni anamdharau mama hakuna mfano wake. Mwingine ni makamu wa Rais huyu kwanza anajiona yeye ndo Rais ndo maana hata ziara zake ni km Rais tu, anatoa Amri na anafuta watu wa kazi..halafu wakiwa na mama wanamchora tu kwa kujifanya watu wanyenyekevu. Mama akumbuke kwamba, wakati wa mwendazake Hilo kundi lote akiwemo mwendazake mwenyewe, walikuwa wanamdharau Sana mama.

Inasikitisha kuona kwamba mama badala ya kuifut a serikali ya mwendazake akaunda ya kwake ili kupata mawazo mapya. Lkn ameendelea na watu walewale wenye mawazo ya mwendazake halafu anataka watende anavyotaka! Kubwa zaidi tukubali mama nchi imemshinda
 
We mbururaa ni ssm gan ameweza kuongoza nchi.. nikupe tu story fupi hadi waingereza walitoa kauli kama yako kwamba hakuna mwafrika atayeweza kuongoza lkn nyerere aliongoza soo you are present shithole baboon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…