Pichani, Mzalendo akiwa Mazungumzoni na Beberu .
Hivi wenzetu ni kwamba wanatuoni ujinga wetu lakin wanatupotezea na kutucheka sana.
Ni kweli. Ndio athari za kuwa tegemezi. Endapo una tabia ya kuomba misaada kwa wajomba mara kwa mara basi tarajia wakufanyie uchambuzi yakinifu kama unatumia misaada yao kiufanisi kwa vigezo vyao. Marekani ndiye mkuu wa wajomba duniani. Akisema tabia yako mbovu, ni vigumu sana ukasikilizwa na wajomba wengine.Haya masuala ya katiba si ni mambo yetu ya ndani, sasa kuruhusu wazungu kuzungumzia mambo yetu ya ndani tena sebuleni kwetu mbona kama haijakaa sawa hivi.
Wanaona ujinga wa wale wenye kupigania katiba mpya ili tu wawe na ugomvi na serikali. Wamarekani wenyewe katiba yao ni ya tangu kuanzishwa taifa hilo miaka mia mbili na zaidi. Uingereza hata haina katiba iliyoandikwa.Pichani, Mzalendo akiwa Mazungumzoni na Beberu .
Hivi wenzetu ni kwamba wanatuoni ujinga wetu lakin wanatupotezea na kutucheka sana.
Bado haitamsaidia kwa sababu alishakosea toka mwanzo. Baada tu ya kuapishwa, alitakiwa apige chini Baraza la mawaziri lote. Halafu aunde jipya hata waziri mkuu hakutakiwa kumrithi. Rais ndiyo maana amepewa nafasi ya kuunda serikali kwa kuweka watu wake anaowaamini.Kufariki kwa Waziri wa Ulinzi kumempa nafasi ya kuwaondoa Mwigulu Nchemba majaliwa, Ndugulile, Bashungwa, Kabugi na Gwajima je atafanya hivyo? Ngoja tusubiri tuone. Sijui kama anaweza pia kumtumbua yule mrundi VP. Hawa bado wanaendelea kumuenzi dhalimu mwendazake.
Anajua ila ameshabanwa,, hana ujanja,, yeye ndiye anaelekezwa cha kufanya badala ya yeye aelekeze watendaji wake cha kufanya.Wanaofaidika na hizi distractions ni wengi mkuu.
Ufalme ni gharama sana, Natamani Rais Samia angejua hilo. Amezungukwa na watu wajanja sana.
Ugonjwa wa corona nao si ni mambo ya ndani ya nchi,mbona tumepokea chanjo kutoka kwao?Haya masuala ya katiba si ni mambo yetu ya ndani, sasa kuruhusu wazungu kuzungumzia mambo yetu ya ndani tena sebuleni kwetu mbona kama haijakaa sawa hivi.
Mkuu tafuta ujihabarishe uone bribery act ya UKUingereza hata haina katiba iliyoandikwa.
Bado haitamsaidia kwa sababu alishakosea toka mwanzo. Baada tu ya kuapishwa, alitakiwa apige chini Baraza la mawaziri lote. Halafu aunde jipya hata waziri mkuu hakutakiwa kumrithi. Rais ndiyo maana amepewa nafasi ya kuunda serikali kwa kuweka watu wake anaowaamini. Huwezi kutumia watu watu wa kurithi ukategemea jambo jipya. Kuna mawaziri kichefuchefu km waziri wa fedha, waziri wa afya na hata makamu wa Rais . Yaani Hawa watu Kuna muda unajiuliza hivi mama hajui km hawana akili??
Ilitakiwa atafute personal mentor .wamsaidie kureason.Kazungukwa na wahuni, waongo na wanafiki.
halafu na umri ushaendaMulamula, nafasi imezidi uwezo wa akili yake.
Yaaan wew mpaka leo bado una mwamini tu Haji Manara [emoji23][emoji23] Pole sanaAngalia hizi kauli!Serikali ya Tanzania huwa inaamini kuwa wananchi ni wajinga kupindukia.
View attachment 1880889