stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Hizo mbwembwe tu,Ccm wenyewe hawawezi kamwe kumpitisha mtu mwingine zaidi ya Lowasa hizo zote porojo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
With all the respect to you brother, Tuwe serious Pasco hii nchi ikitokea "genge"/kundi la EL ndo limeshinda uchaguzi uchaguzi unadhani kutakuwa na maskini wa kukaa kweli?Labda hujui kundi lili nyuma yake? Hebu kwanza nianzishe uzi watu watoe maoni yao kama EL akiwa rais lipi litakuwa baraza lake la mawaziri "ukizingatia lisemwalo lipo" then uje uniambie kama huyu bwana anatufaa!Tusicheze na nafasi nyeti ya urais kwa ushabiki mwepesi huu!Wanabodi,
Hii ni tetesi ya habari mbaya kwa wapenzi wa kipenzi cha watu, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kuwa pamoja na Mhe. Lowassa kuwa ndie mtu anayekubalika sana kuliko mtu mwingine yoyote ndani ya CCM, wale wasiolitakia mema taifa hili, wamepania kupanga njama za kumhujumu kwa kuhakikisha kuwa jina lake halitaingia hata ndani ya kikao cha CC kujadiliwa!, wamepanga kumchinjia baharini kwenye kamati ya maadili, itakayoyajadili majina wagombea kabla ya kuyaingiza kwenye Kamati Kuu, kujadiliwa!.
Lengo la hujuma hiyo ni kufuatia Lowassa kukubalika kupindukia, jina lake likifika tuu CC, hakuna wa kumkata, hivyo wahafidhina wa CCM, wanaounga mkono kambi ya mmoja wa wagombea, wameapa kuhakikisha jina la Lowassa, halivuki kisingiti cha kamati ya maadili, hivyo kumchinjia rasmi baharini, ili mgombea wao apete kwa mteremko!.
Naomba nisitaje chanzo cha habari hizi, kwa kutumia kanuni ya "the confidentiality of the source"
ila kwa vile hizi ni tetesi tuu, zitakapothibitika ndipo nitaweka source!.
Kama kawaida yetu jf, habari kama hizi ambazo hazijathibitishwa, zimeletwa humu hivi hivi zilivyopokelewa, ili wewe kama mwana jf, be the first to know!, na information is power!, hivyo kutoa fursa kwa wenye uwezo wa kuizuia hii mipango dhalimu inayopangwa, kutaka kuwakosesha Watanzaia mgombea kipenzi chao, chaguo la wengi, na mwenye uwezo usio tia shaka kuyamaliza matatizo yote ya taifa letu Tanzania.
Hii ni thread ya info tip, tuu, hivyo naomba nisiulizwe swali lolote kuhusu hii news tip for your info tuu.
NB. Chama cha Mapinduzi ni taasisi huru yenye uwezo wa kufanya shughuli zake kwa uhuru vile ambavyo wataona wenyewe inafaa, ikiwemo vigezo na jinsi ya kuwachagua wagombea wake, ila kwa sisi ambao ni wakereketwa wa mustakali mwema wa nchi hii, kamwe hatutakubali, kuona watu wenye uwezo na wanaokubalika na wengi, wakienguliwa kwa mizengwe tuu, kitu ambacho CCM imekuwa ikikifanya mara nyingu huko nyuma na labda ni kweli ndicho walichopanga kukifanya mwaka huu!, yaani CCM imekuwa ikiwaengua wagombea wazuri kwa mizengwe na ikabaki salama!, lakini this time, nimewasikia baadhi ya wana CCM kindakindaki, kuwa wamejiapiza, this time CCM ikimuengua chaguo lao kwa mizengwe, patachimbika!.
Pasco
Na mimi ngoja nikwambie,huyo Nape 2005 alijiapiza JK akiwa Rais atahama Nchi,yuko wapi sasa? Huyo Nape ni vuvuzela tu hana impact yoyote ndani ya Magamba.Ngoja nikuhakikishie bwana Pasco, Nape Nnauye kwa mdomo wake alinitamkia kuwa "Endapo Lowassa atajitokeza kugombea, basi jina lake litakatwa katika hatua za mwanzo kabisa"
Ni ndoto za mchana kwa Lowassa kupitishwa na chama chake eti awanie urais! Ni ndoto za mchana!
With all the respect to you brother, Tuwe serious Pasco hii nchi ikitokea "genge"/kundi la EL ndo limeshinda uchaguzi uchaguzi unadhani kutakuwa na maskini wa kukaa kweli?Labda hujui kundi lili nyuma yake? Hebu kwanza nianzishe uzi watu watoe maoni yao kama EL akiwa rais lipi litakuwa baraza lake la mawaziri "ukizingatia lisemwalo lipo" then uje uniambie kama huyu bwana anatufaa!Tusicheze na nafasi nyeti ya urais kwa ushabiki mwepesi huu!
Pasco naapa tutagawana mbao,misumari na mapaa hakuna namna tutakubali kiongozi anayependwa na kuhitajiwa na watu akikatwa jina nakuhakikishia zile zama eti ccm usiifananishe na Kanu hawataamini believe me,huku site upepo wa Edward ni tofauti na wanavyojua hali ni tete edward mpaka watoto wanamtajaWanabodi,
Hii ni tetesi ya habari mbaya kwa wapenzi wa kipenzi cha watu, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kuwa pamoja na Mhe. Lowassa kuwa ndie mtu anayekubalika sana kuliko mtu mwingine yoyote ndani ya CCM, wale wasiolitakia mema taifa hili, wamepania kupanga njama za kumhujumu kwa kuhakikisha kuwa jina lake halitaingia hata ndani ya kikao cha CC kujadiliwa!, wamepanga kumchinjia baharini kwenye kamati ya maadili, itakayoyajadili majina wagombea kabla ya kuyaingiza kwenye Kamati Kuu, kujadiliwa!.
Lengo la hujuma hiyo ni kufuatia Lowassa kukubalika kupindukia, jina lake likifika tuu CC, hakuna wa kumkata, hivyo wahafidhina wa CCM, wanaounga mkono kambi ya mmoja wa wagombea, wameapa kuhakikisha jina la Lowassa, halivuki kisingiti cha kamati ya maadili, hivyo kumchinjia rasmi baharini, ili mgombea wao apete kwa mteremko!.
Naomba nisitaje chanzo cha habari hizi, kwa kutumia kanuni ya "the confidentiality of the source"
ila kwa vile hizi ni tetesi tuu, zitakapothibitika ndipo nitaweka source!.
Kama kawaida yetu jf, habari kama hizi ambazo hazijathibitishwa, zimeletwa humu hivi hivi zilivyopokelewa, ili wewe kama mwana jf, be the first to know!, na information is power!, hivyo kutoa fursa kwa wenye uwezo wa kuizuia hii mipango dhalimu inayopangwa, kutaka kuwakosesha Watanzaia mgombea kipenzi chao, chaguo la wengi, na mwenye uwezo usio tia shaka kuyamaliza matatizo yote ya taifa letu Tanzania.
Hii ni thread ya info tip, tuu, hivyo naomba nisiulizwe swali lolote kuhusu hii news tip for your info tuu.
NB. Chama cha Mapinduzi ni taasisi huru yenye uwezo wa kufanya shughuli zake kwa uhuru vile ambavyo wataona wenyewe inafaa, ikiwemo vigezo na jinsi ya kuwachagua wagombea wake, ila kwa sisi ambao ni wakereketwa wa mustakali mwema wa nchi hii, kamwe hatutakubali, kuona watu wenye uwezo na wanaokubalika na wengi, wakienguliwa kwa mizengwe tuu, kitu ambacho CCM imekuwa ikikifanya mara nyingu huko nyuma na labda ni kweli ndicho walichopanga kukifanya mwaka huu!, yaani CCM imekuwa ikiwaengua wagombea wazuri kwa mizengwe na ikabaki salama!, lakini this time, nimewasikia baadhi ya wana CCM kindakindaki, kuwa wamejiapiza, this time CCM ikimuengua chaguo lao kwa mizengwe, patachimbika!.
Pasco
Kweli wanamtaja ila wanamtaja kwa lipi, kwa mfano mie wanangu wanamtaja Lowasa kama waziri aliacha kazi baada ya kugundulika kaiba hela za serikali "ingawa sio hivyo pengine"Pasco naapa tutagawana mbao,misumari na mapaa hakuna namna tutakubali kiongozi anayependwa na kuhitajiwa na watu akikatwa jina nakuhakikishia zile zama eti ccm usiifananishe na Kanu hawataamini believe me,huku site upepo wa Edward ni tofauti na wanavyojua hali ni tete edward mpaka watoto wanamtaja
Mwaka huu tutavunja record nyingine duniani FISADI awe raisi ?Tanzania my country akitaka aupate uraisi namshauri EL awe muwazi atuaambie hadharani deal la Richmond alipiga na nani huko CCM hiko ndo kizingiti kinachomwangamiza
With all the respect to you brother, Tuwe serious Pasco hii nchi ikitokea "genge"/kundi la EL ndo limeshinda uchaguzi uchaguzi unadhani kutakuwa na maskini wa kukaa kweli?Labda hujui kundi lili nyuma yake? Hebu kwanza nianzishe uzi watu watoe maoni yao kama EL akiwa rais lipi litakuwa baraza lake la mawaziri "ukizingatia lisemwalo lipo" then uje uniambie kama huyu bwana anatufaa!Tusicheze na nafasi nyeti ya urais kwa ushabiki mwepesi huu!
Wanabodi,
Hii ni tetesi ya habari mbaya kwa wapenzi wa kipenzi cha watu, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kuwa pamoja na Mhe. Lowassa kuwa ndie mtu anayekubalika sana kuliko mtu mwingine yoyote ndani ya CCM, wale wasiolitakia mema taifa hili, wamepania kupanga njama za kumhujumu kwa kuhakikisha kuwa jina lake halitaingia hata ndani ya kikao cha CC kujadiliwa!, wamepanga kumchinjia baharini kwenye kamati ya maadili, itakayoyajadili majina wagombea kabla ya kuyaingiza kwenye Kamati Kuu, kujadiliwa!.
Lengo la hujuma hiyo ni kufuatia Lowassa kukubalika kupindukia, jina lake likifika tuu CC, hakuna wa kumkata, hivyo wahafidhina wa CCM, wanaounga mkono kambi ya mmoja wa wagombea, wameapa kuhakikisha jina la Lowassa, halivuki kisingiti cha kamati ya maadili, hivyo kumchinjia rasmi baharini, ili mgombea wao apete kwa mteremko!.
Naomba nisitaje chanzo cha habari hizi, kwa kutumia kanuni ya "the confidentiality of the source"
ila kwa vile hizi ni tetesi tuu, zitakapothibitika ndipo nitaweka source!.
Kama kawaida yetu jf, habari kama hizi ambazo hazijathibitishwa, zimeletwa humu hivi hivi zilivyopokelewa, ili wewe kama mwana jf, be the first to know!, na information is power!, hivyo kutoa fursa kwa wenye uwezo wa kuizuia hii mipango dhalimu inayopangwa, kutaka kuwakosesha Watanzaia mgombea kipenzi chao, chaguo la wengi, na mwenye uwezo usio tia shaka kuyamaliza matatizo yote ya taifa letu Tanzania.
Hii ni thread ya info tip, tuu, hivyo naomba nisiulizwe swali lolote kuhusu hii news tip for your info tuu.
NB. Chama cha Mapinduzi ni taasisi huru yenye uwezo wa kufanya shughuli zake kwa uhuru vile ambavyo wataona wenyewe inafaa, ikiwemo vigezo na jinsi ya kuwachagua wagombea wake, ila kwa sisi ambao ni wakereketwa wa mustakali mwema wa nchi hii, kamwe hatutakubali, kuona watu wenye uwezo na wanaokubalika na wengi, wakienguliwa kwa mizengwe tuu, kitu ambacho CCM imekuwa ikikifanya mara nyingu huko nyuma na labda ni kweli ndicho walichopanga kukifanya mwaka huu!, yaani CCM imekuwa ikiwaengua wagombea wazuri kwa mizengwe na ikabaki salama!, lakini this time, nimewasikia baadhi ya wana CCM kindakindaki, kuwa wamejiapiza, this time CCM ikimuengua chaguo lao kwa mizengwe, patachimbika!.
Pasco
Mwaka huu tutavunja record nyingine duniani FISADI awe raisi ?Tanzania my country akitaka aupate uraisi namshauri EL awe muwazi atuaambie hadharani deal la Richmond alipiga na nani huko CCM hiko ndo kizingiti kinachomwangamiza
Ridhiwan Kikwete naye akasema Lowasa akiwa rais anahama nchi. Guess who is behind Ridhiwan! Mwacheni Lowasa aharibu pesa yake tu, soon atajua sikio haliwezi kuzidi kichwa.Na mimi ngoja nikwambie,huyo Nape 2005 alijiapiza JK akiwa Rais atahama Nchi,yuko wapi sasa? Huyo Nape ni vuvuzela tu hana impact yoyote ndani ya Magamba.
Ridhiwan Kikwete naye akasema Lowasa akiwa rais anahama nchi. Guess who is behind Ridhiwan! Mwacheni Lowasa aharibu pesa yake tu, soon atajua sikio haliwezi kuzidi kichwa.
With all the respect to you brother, Tuwe serious Pasco hii nchi ikitokea "genge"/kundi la EL ndo limeshinda uchaguzi uchaguzi unadhani kutakuwa na maskini wa kukaa kweli?Labda hujui kundi lili nyuma yake? Hebu kwanza nianzishe uzi watu watoe maoni yao kama EL akiwa rais lipi litakuwa baraza lake la mawaziri "ukizingatia lisemwalo lipo" then uje uniambie kama huyu bwana anatufaa!Tusicheze na nafasi nyeti ya urais kwa ushabiki mwepesi huu!
Ngoja nikuhakikishie bwana Pasco, Nape Nnauye kwa mdomo wake alinitamkia kuwa "Endapo Lowassa atajitokeza kugombea, basi jina lake litakatwa katika hatua za mwanzo kabisa"