Mie wala sishauri ziwepo kwa kweli.
Wacha waipate pate mpaka akili ziwakae sawa.[/QUOTE
haziwezi kuwakaa sawa coz wamama ndo wahitaji wakubwa wa hii bidhaa (vibenteni) coz ni mara chache sana kukuta kijana anamtongoza mtu mzima . (kwa huku kwetu lakini ila kwa Dar sijuiiii)kina mama nawaombeni mtusamehee
Amna noma niweke kwenye maombi yako ili zali linidondokeeNyimbo ya kukutia moyo Jaguar huu mwaka lizima nipateee kama njau umemupa na fulani umemupa lazima na mi nipateee in jaguar voice
Mungu akutangulie kwenye harakati zako mkuu
ItapendezaNgoja nitupiemo mkuu
sawa mkuu swala zote lazima alafu ukipata unikumbuke hata vivocha vya bukubuku kila sikuuuAmna noma niweke kwenye maombi yako ili zali linidondokee
HahahaaaAmna noma mzee wewe ni mwanangu sana
Kwa hiyo ukisoma Engineering hapaswi kuwa na mtazamo tofauti na wako? Hapaswi kuwaza na kufikili nje ya field yake? Unafikiri kwa utaratibu huo kila facult inapaswa kuwa na dunia yake sasa.We dogo acha kujidhalilisha na kudhalilisha field ya Engineering.
We umesoma Engineering kabisa (japo ni ya SJUIT) halafu unakalia kuandika nyuzi za udaku ku-discuss maisha ya watu.
Engineers majukwaa yetu ni mawili tu humu.
1. Tech, Science and Gadgets
2. Education forum
3. Matangazo Madogo Madogo
Mambo ya udaku waaachie walosooma HKL kama kina FRESHMAN, Humble African na General Mangi
Usihame bana. Tuipe muda itabadilika. Mie mbali na yote ila sina mapango wa kuikacha.Mimi yanga damu lakin kwa yanga hii nahamia mbao fc kwa mda