Licha ya kuwa kiben 10 ila dogo anafaid sana aisee

Licha ya kuwa kiben 10 ila dogo anafaid sana aisee

Mie wala sishauri ziwepo kwa kweli.

Wacha waipate pate mpaka akili ziwakae sawa.[/QUOTE
haziwezi kuwakaa sawa coz wamama ndo wahitaji wakubwa wa hii bidhaa (vibenteni) coz ni mara chache sana kukuta kijana anamtongoza mtu mzima . (kwa huku kwetu lakini ila kwa Dar sijuiiii)kina mama nawaombeni mtusamehee
 
mkuuu ulikuwa wapi mfugaji nahuja alikuwa anatafuta wa kumfuga kiben11 sijui keshapata embu mchekiii mkuu au mtag kabisaaa
nahuja si maneno yangu nimejikuta tuu naandika [emoji23]
Yule si alikuwa mjamzito mkuu
 
Nyimbo ya kukutia moyo Jaguar huu mwaka lizima nipateee kama njau umemupa na fulani umemupa lazima na mi nipateee in jaguar voice
Mungu akutangulie kwenye harakati zako mkuu
Amna noma niweke kwenye maombi yako ili zali linidondokee
 
We dogo acha kujidhalilisha na kudhalilisha field ya Engineering.
We umesoma Engineering kabisa (japo ni ya SJUIT) halafu unakalia kuandika nyuzi za udaku ku-discuss maisha ya watu.
Engineers majukwaa yetu ni mawili tu humu.
1. Tech, Science and Gadgets
2. Education forum
3. Matangazo Madogo Madogo


Mambo ya udaku waaachie walosooma HKL kama kina FRESHMAN, Humble African na General Mangi
Kwa hiyo ukisoma Engineering hapaswi kuwa na mtazamo tofauti na wako? Hapaswi kuwaza na kufikili nje ya field yake? Unafikiri kwa utaratibu huo kila facult inapaswa kuwa na dunia yake sasa.
 
Back
Top Bottom