Licha ya kuwa namba 1 kwa viwanda Tanzania Mkoa wa Pwani ni kati ya Mikoa 10 masikini

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Kwa mujibu wa taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa 2022 kutoka NBS, Mkoa wa Pwani ndio unaongoza kwa kuwa na viwanda vingi Tanzania.

Lakini licha kuwa na viwanda vingi, Pwani ni kati ya Mikoa 10 maskini Tanzania, yaani yenye Pato dogo zaidi (top 10 Lowest Regional GDP). Haya ndio madhara ya viwanda vinavyolipa watu elfu 7 kwa siku.

Orodha ya Mikoa Maskini kwa Pato (Regional Growth Domestic Product 2022) ni kama ifuatavyo;

1. Katavi - 2.297
2. Simiyu - 3.076
3. Songwe - 3.087
4. Njombe - 3.093
5. Singida - 3.190
6. Lindi - 3.384
7. Pwani - 3.429
8. Rukwa - 3.588
9. Kagera - 4.352
10. Mtwara - 4.686

Credit NBS, Tanzania in Figures 2022



My Take
Hongera Mkoa wa Kigoma kwa kujikwamua kutoka mkiani.
 
Watu wa Njombe mnaaibisha Mkoa wenu, tokeni Mikoa ya watu mje kuwekeza Mkoani kwenu
 
Mbona sijaona Zanzibar, Sema mikoa ya Nchi ya Tanganyika
 
Wakazi wengi wa pwani wako busy na uislamu kwasababu wameahidiwa wakifa watabadilika na kuwa waarabu.

Ndo maana Juma Nature Mndengereko na Masoud Kipanya Lindi wakikumbuka wakifa kwenye uislamu wanabadilika kuwa waarabu wanajituma kwenye uislamu kupitiliza kwa kuswali zaidi ya mara tano kwa siku.

Pia walijisugua na msasa na steel wire kupata sijdah ile alama kwenye paji la uso.

Myangu The Icebreaker Kikwajuni One
 
Huu ni ubaguzi kwa kuzarau watu sababu ya dini ambazo zililetwa leo hii wazungu na waarabu wasingekuja africa pengine kama wachina
 
Mangi umefurahi...hata hizo data hujui jinsi ya kuzisoma.
Soma vizuri data alafu uzifafanue.
 
Huku kwetu kuna makaa ya mawe naviwanda viko Mtwara, na bado mtwara ipo kwa List, bad news
 
Kisa mliachiwa mali za mkoloni na kumng'ang'ania wazee wako hawakutaka uhuru kabisa πŸ˜…πŸ˜….

Miaka 60 na kitu ya uhuru bado hamjui kusafisha meno..
Ndo maana matajiri ni nyir wagalatia hapa bongo pekee.
 
Na hili nalo liangaliwe, yaani kiwanda kinalipa buku 7 tu kwa siku ,na hawa wenzetu wa kagera sijui nini kimewasibu licha kuwa na maendeleo makubwa(uchumi,elimu) kwenye mikoa ya wengine, kwao wamepasahau
 
Viwanda vya pwani having uhusiano na aina ya uzalishaji mali wa wananchi wa pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…