Licha ya kuwa namba 1 kwa viwanda Tanzania Mkoa wa Pwani ni kati ya Mikoa 10 masikini

Licha ya kuwa namba 1 kwa viwanda Tanzania Mkoa wa Pwani ni kati ya Mikoa 10 masikini

Wakazi wengi wa pwani wako busy na uislamu kwasababu wameahidiwa wakifa watabadilika na kuwa waarabu.

Ndo maana Juma Nature Mndengereko na Masoud Kipanya Lindi wakikumbuka wakifa kwenye uislamu wanabadilika kuwa waarabu wanajituma kwenye uislamu kupitiliza kwa kuswali zaidi ya mara tano kwa siku.

Pia walijisugua na msasa na steel wire kupata sijdah ile alama kwenye paji la uso.

Myangu The Icebreaker Kikwajuni One
[emoji3][emoji3]
 
Kisa mliachiwa mali za mkoloni na kumng'ang'ania wazee wako hawakutaka uhuru kabisa [emoji28][emoji28].

Miaka 60 na kitu ya uhuru bado hamjui kusafisha meno..
Ndo maana matajiri ni nyir wagalatia hapa bongo pekee.
Wewe kule kwenu lushoto kumechakaa mnajua kulogana tu
 
Kwa mujibu wa taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa 2022 kutoka NBS, Mkoa wa Pwani ndio unaongoza kwa kuwa na viwanda vingi Tanzania.

Lakini licha kuwa na viwanda vingi, Pwani ni kati ya Mikoa 10 maskini Tanzania, yaani yenye Pato dogo zaidi (top 10 Lowest Regional GDP). Haya ndio madhara ya viwanda vinavyolipa watu elfu 7 kwa siku.

Orodha ya Mikoa Maskini kwa Pato (Regional Growth Domestic Product 2022) ni kama ifuatavyo;

1. Katavi - 2.297
2. Simiyu - 3.076
3. Songwe - 3.087
4. Njombe - 3.093
5. Singida - 3.190
6. Lindi - 3.384
7. Pwani - 3.429
8. Rukwa - 3.588
9. Kagera - 4.352
10. Mtwara - 4.686

Credit NBS, Tanzania in Figures 2022

View attachment 2708002View attachment 2708004

My Take
Hongera Mkoa wa Kigoma kwa kujikwamua kutoka mkiani.
Ebu acha kujizima data utapataje maendeleo Kwa mshahara wa mchina wa laki Moja na nusu Kwa mwezi? Huko kwenye viwanda ndo Kuna unyonyaji ulipitiliza
 
Kwa mujibu wa taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa 2022 kutoka NBS, Mkoa wa Pwani ndio unaongoza kwa kuwa na viwanda vingi Tanzania.

Lakini licha kuwa na viwanda vingi, Pwani ni kati ya Mikoa 10 maskini Tanzania, yaani yenye Pato dogo zaidi (top 10 Lowest Regional GDP). Haya ndio madhara ya viwanda vinavyolipa watu elfu 7 kwa siku.

Orodha ya Mikoa Maskini kwa Pato (Regional Growth Domestic Product 2022) ni kama ifuatavyo;

1. Katavi - 2.297
2. Simiyu - 3.076
3. Songwe - 3.087
4. Njombe - 3.093
5. Singida - 3.190
6. Lindi - 3.384
7. Pwani - 3.429
8. Rukwa - 3.588
9. Kagera - 4.352
10. Mtwara - 4.686

Credit NBS, Tanzania in Figures 2022

View attachment 2708002View attachment 2708004

My Take
Hongera Mkoa wa Kigoma kwa kujikwamua kutoka mkiani.

View: https://www.instagram.com/p/DHEeCokoe6v/?igsh=MXd2cnF1amE5MDRlbA==
 
Viwanda vingi pwani ni magofu,stores na assemble point. Ajabu CCM ikaamua kuifanya ajenda ya kujibeba kwamba imafanikiwa kuleta maendeleo kiuchumi

Dodoma ni mji wa kisiasa hakuja jipya kule
 
Back
Top Bottom