Licha ya kuwa namba 1 kwa viwanda Tanzania Mkoa wa Pwani ni kati ya Mikoa 10 masikini

Licha ya kuwa namba 1 kwa viwanda Tanzania Mkoa wa Pwani ni kati ya Mikoa 10 masikini

Kwani tuna majimbo Tanzania?serikali za mikoa zinapokea kodi? Au wanapeleka zote serikali kuu..huwa sielewagi huu mlinganyo kuwa mkoa mmoja umeendelea kuliko mwingine au a much stupid example ni kabila fulani limeendelea kuliko lingine
 
Pesa yote inaenda Serikali kuu ila shughuli za Uchumi ziko Mikoa mbalimbali Kwa hiyo Kila kitu kinakuwa accounted for pale kilipofanyika na kuwa pesa.
 
FAFANUA KICHUMI ILI TUFAIDI NA KISHA FAFANUA KILUGHA TUNAFAIDI TENA.
Kichumi industry ni wote wanaohusika na Hilo swala/uzalishaji,Kisha Kuna firm ndiyo Kama bakhresa na firm zake,ndani ya firm ndo Kuna plants,kilugha industry inachukuliwa tu Kama kile kinachozalisha mo extra
 
Wakazi wengi wa pwani wako busy na uislamu kwasababu wameahidiwa wakifa watabadilika na kuwa waarabu.

Ndo maana Juma Nature Mndengereko na Masoud Kipanya Lindi wakikumbuka wakifa kwenye uislamu wanabadilika kuwa waarabu wanajituma kwenye uislamu kupitiliza kwa kuswali zaidi ya mara tano kwa siku.

Pia walijisugua na msasa na steel wire kupata sijdah ile alama kwenye paji la uso.

Myangu The Icebreaker Kikwajuni One

Sjdah ni tochi ya kuzimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kiwanda cha Vigae Mkiu,
Kiwanda cha vigae Kibaha
Kiwanda cha Vioo Mkiu
Kiwanda cha Chumvi Mkuranga
Kiwanda cha Gypsum Mkuranga
Kiwanda cha Yeboyebo
Kiwanda cha Taa za Honor

Hicho kiwanda cha yeboyebo kiko wapi? Ninecheka eti kiwanda cha yeboyebo, hivo vigae vina ubora gani? Unaweza kulinganisha na vigae vya BSM?
 
Nakumbuka miaka ya JK hao home shopping center kwa sasa jieshiemu walikua wana import cement ya pakistan, wakifika wanachukua mifuko waliyochapisha china, wanapeleka congo na rwanda baadae walistukiwa maana kule cemennt walikua wananunua hadi elfu tano au sita kwa mfuko, ikawa kama wanakiwanda kumbe hakuna ni janja janja yao tu
 
Kwa mujibu wa taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa 2022 kutoka NBS, Mkoa wa Pwani ndio unaongoza kwa kuwa na viwanda vingi Tanzania.

Lakini licha kuwa na viwanda vingi, Pwani ni kati ya Mikoa 10 maskini Tanzania, yaani yenye Pato dogo zaidi (top 10 Lowest Regional GDP). Haya ndio madhara ya viwanda vinavyolipa watu elfu 7 kwa siku.

Orodha ya Mikoa Maskini kwa Pato (Regional Growth Domestic Product 2022) ni kama ifuatavyo;

1. Katavi - 2.297
2. Simiyu - 3.076
3. Songwe - 3.087
4. Njombe - 3.093
5. Singida - 3.190
6. Lindi - 3.384
7. Pwani - 3.429
8. Rukwa - 3.588
9. Kagera - 4.352
10. Mtwara - 4.686

Credit NBS, Tanzania in Figures 2022

View attachment 2708002View attachment 2708004

My Take
Hongera Mkoa wa Kigoma kwa kujikwamua kutoka mkiani.
all coastal areas/lacustrine pwani,mtwara,lindi,etc

this is traced back during colonial era...those areas reserved for production of cheap labourers/MANAMBA.Thus why were/are legging behind development.Poverty and other miserable life in those region has historical phenomenon.
 
Lakini cheap labourers as per Colonia literatures walikuwa wanatokea usukumani ,Kigoma nk mbona unawasingizia watu wa Pwani? Hao ni Watawala.
 
all coastal areas/lacustrine pwani,mtwara,lindi,etc

this is traced back during colonial era...those areas reserved for production of cheap labourers/MANAMBA.Thus why were/are legging behind development.Poverty and other miserable life in those region has historical phenomenon.
Hujui historia acha kudanganya. Pwani haikuwahi kuwa reservation ya manamba wala kupata watumwa. Rudi kasome vizuri
 
Back
Top Bottom