Licha ya kuwa namba 1 kwa viwanda Tanzania Mkoa wa Pwani ni kati ya Mikoa 10 masikini

Licha ya kuwa namba 1 kwa viwanda Tanzania Mkoa wa Pwani ni kati ya Mikoa 10 masikini

Kwenda zako huko umbwa wewe
images (10).jpeg

Sasa manka, matusi ya nini?
 
Kwa nini?
Pwani, wananchi wanalima mihogo, mboga mboga, mpunga, uvuvi ambao bado ni duni. Kuna viwanda vingapi vidogo na vya kati vinavyowezesha hayo? Kiwanda cha Nondo kujengwa pwani ni sawa lkn kinaweza kisiwe na faida yoyote katika household income ya mzaramo kwani kinaweza kuajiri pia kutoka mbali.
Pili sera zetu hazilazimishi kuajiri % flan kutoka ndani ya wilaya husika
 
Tatu, population kubwa ya Pwani ndio hio hio utaikuta imewekewa Dar. Kuna movement kubwa na muingiliano kati ya wakazi wa pWani na Dar. Si rahisi kujua Mzaramo,Mndengereko kama ni WA Dar au Pwani. Nyumba Dar lakini keshokutwa utakuta Pwani
 
viwanda vingi maana yake wakaz wake weng ni wafanyakaz wa viwandan
na mshahara wa viwandan ni 5000-7000 kwa siku hamna posho wala upigaj na ukikuta mtu analipwa 10k / day kiwandan anaheshimika sana
 
Tatu, population kubwa ya Pwani ndio hio hio utaikuta imewekewa Dar. Kuna movement kubwa na muingiliano kati ya wakazi wa pWani na Dar. Si rahisi kujua Mzaramo,Mndengereko kama ni WA Dar au Pwani. Nyumba Dar lakini keshokutwa utakuta Pwani
Hahaaaaa. Nimepata nyongeza
 
WAZIMA HUMU,
TUSIPOTOFAUTISHA KATI YA ASSEMBLING CENTERS NA PLANTS, TUTAENDELEA KUDANGANYANA KUWA KUUNGANISHA BODA BODA NI PLANT. ZINGINE NI GARAGE ZILIZO CHANGAMKA, NA ZINGINE NI WORKSHOP ZILIZOENDA SHULE, ZOTE TUNAZIITA VIWANDA.
 
Kabisa..

Garage zilizochangamka
 
Wakazi wengi wa pwani wako busy na uislamu kwasababu wameahidiwa wakifa watabadilika na kuwa waarabu.

Ndo maana Juma Nature Mndengereko na Masoud Kipanya Lindi wakikumbuka wakifa kwenye uislamu wanabadilika kuwa waarabu wanajituma kwenye uislamu kupitiliza kwa kuswali zaidi ya mara tano kwa siku.

Pia walijisugua na msasa na steel wire kupata sijdah ile alama kwenye paji la uso.

Myangu The Icebreaker Kikwajuni One
mjadala unaongeleea viwanda na uchumi ww unaleta udinii , huwez kujadili kitu mpka ugusie imani za watu
 
Kwa mujibu wa taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa 2022 kutoka NBS, Mkoa wa Pwani ndio unaongoza kwa kuwa na viwanda vingi Tanzania.

Lakini licha kuwa na viwanda vingi, Pwani ni kati ya Mikoa 10 maskini Tanzania, yaani yenye Pato dogo zaidi (top 10 Lowest Regional GDP). Haya ndio madhara ya viwanda vinavyolipa watu elfu 7 kwa siku.

Orodha ya Mikoa Maskini kwa Pato (Regional Growth Domestic Product 2022) ni kama ifuatavyo;

1. Katavi - 2.297
2. Simiyu - 3.076
3. Songwe - 3.087
4. Njombe - 3.093
5. Singida - 3.190
6. Lindi - 3.384
7. Pwani - 3.429
8. Rukwa - 3.588
9. Kagera - 4.352
10. Mtwara - 4.686

Credit NBS, Tanzania in Figures 2022

View attachment 2708002View attachment 2708004

My Take
Hongera Mkoa wa Kigoma kwa kujikwamua kutoka mkiani.
Ni viwanda vya wageni kwa asilimia 99
Mapato yote yanakimbizwa kwao taifa linaachiwa makombo
Wafanyakazi viwandani wanalipwa kiduchu na kazi ni masaa 12, wanachopata kinaishia kwenye matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatu, population kubwa ya Pwani ndio hio hio utaikuta imewekewa Dar. Kuna movement kubwa na muingiliano kati ya wakazi wa pWani na Dar. Si rahisi kujua Mzaramo,Mndengereko kama ni WA Dar au Pwani. Nyumba Dar lakini keshokutwa utakuta Pwani
Hiyo movement yenye muingiliano mbona hatuoni positive effects yake Kwa Mkoa wa Pwani?
 
Ni viwanda vya wageni kwa asilimia 99
Mapato yote yanakimbizwa kwao taifa linaachiwa makombo
Wafanyakazi viwandani wanalipwa kiduchu na kazi ni masaa 12, wanachopata kinaishia kwenye matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU UNAWEZA KUNITAJIA VIWANDA VINNE VILIVYOPO MKOA WA PWANI ILI IWE REFERENCE YA KUJUA KIPI KIWANDA NA KIPI NI WORKSHOP/GARAGE AU WAREHOUSE
 
MKUU UNAWEZA KUNITAJIA VIWANDA VINNE VILIVYOPO MKOA WA PWANI ILI IWE REFERENCE YA KUJUA KIPI KIWANDA NA KIPI NI WORKSHOP/GARAGE AU WAREHOUSE
Nimezingumzia viwanda Malila na sio vile viwanda vya ccm
. Viwanda vya saruji
. Viwanda vya Nondo
. Viwanda vya sabuni
. Viwanda vya vigae
. Viwanda vya shurubati
. Viwanda vya maji
. Vuwanda vya mabati
. Viwanda vya nishati mbadala
. Viwanda vya luninga
. Viwanda vya pembejeo za kilimo
. Viwanda vya magari
. Viwanda vya vyakula
. Viwanda vya mifugo
. Viwanda vya chuma
. Viwanda vya nguo
. Viwanda vya vyombo vya plastic
. Viwanda vya vifaa vya ujenzi nk nk

Hivi vyote hakuna kiwanda kinachopungua wafanyakazi 50 na uwekezaji wa kuanzia $ 500,000/= na eneo lisilopungua ekari moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom