luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
[emoji3][emoji3]Wakazi wengi wa pwani wako busy na uislamu kwasababu wameahidiwa wakifa watabadilika na kuwa waarabu.
Ndo maana Juma Nature Mndengereko na Masoud Kipanya Lindi wakikumbuka wakifa kwenye uislamu wanabadilika kuwa waarabu wanajituma kwenye uislamu kupitiliza kwa kuswali zaidi ya mara tano kwa siku.
Pia walijisugua na msasa na steel wire kupata sijdah ile alama kwenye paji la uso.
Myangu The Icebreaker Kikwajuni One
Wewe kule kwenu lushoto kumechakaa mnajua kulogana tuKisa mliachiwa mali za mkoloni na kumng'ang'ania wazee wako hawakutaka uhuru kabisa [emoji28][emoji28].
Miaka 60 na kitu ya uhuru bado hamjui kusafisha meno..
Ndo maana matajiri ni nyir wagalatia hapa bongo pekee.
Harufu yenu ya umaskini ndio hatariHao hizo shape tu unaweza kutapika bado Ile harufu yao ya ulevi.
Ebu acha kujizima data utapataje maendeleo Kwa mshahara wa mchina wa laki Moja na nusu Kwa mwezi? Huko kwenye viwanda ndo Kuna unyonyaji ulipitilizaKwa mujibu wa taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa 2022 kutoka NBS, Mkoa wa Pwani ndio unaongoza kwa kuwa na viwanda vingi Tanzania.
Lakini licha kuwa na viwanda vingi, Pwani ni kati ya Mikoa 10 maskini Tanzania, yaani yenye Pato dogo zaidi (top 10 Lowest Regional GDP). Haya ndio madhara ya viwanda vinavyolipa watu elfu 7 kwa siku.
Orodha ya Mikoa Maskini kwa Pato (Regional Growth Domestic Product 2022) ni kama ifuatavyo;
1. Katavi - 2.297
2. Simiyu - 3.076
3. Songwe - 3.087
4. Njombe - 3.093
5. Singida - 3.190
6. Lindi - 3.384
7. Pwani - 3.429
8. Rukwa - 3.588
9. Kagera - 4.352
10. Mtwara - 4.686
Credit NBS, Tanzania in Figures 2022
View attachment 2708002View attachment 2708004
My Take
Hongera Mkoa wa Kigoma kwa kujikwamua kutoka mkiani.
Nyie ndo mnaongoza kufanya watoto mazombi kwa roho mbaya za mali ,kufanya watoto mazezeta na kuuana kama sio ujinga ni nn?Wewe kule kwenu lushoto kumechakaa mnajua kulogana tu
Unaona unavyojitetea halafu uko 38 una akili hizi kama sio ujinga ni nn?Harufu yenu ya umaskini ndio hatari
Kwa mujibu wa taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa 2022 kutoka NBS, Mkoa wa Pwani ndio unaongoza kwa kuwa na viwanda vingi Tanzania.
Lakini licha kuwa na viwanda vingi, Pwani ni kati ya Mikoa 10 maskini Tanzania, yaani yenye Pato dogo zaidi (top 10 Lowest Regional GDP). Haya ndio madhara ya viwanda vinavyolipa watu elfu 7 kwa siku.
Orodha ya Mikoa Maskini kwa Pato (Regional Growth Domestic Product 2022) ni kama ifuatavyo;
1. Katavi - 2.297
2. Simiyu - 3.076
3. Songwe - 3.087
4. Njombe - 3.093
5. Singida - 3.190
6. Lindi - 3.384
7. Pwani - 3.429
8. Rukwa - 3.588
9. Kagera - 4.352
10. Mtwara - 4.686
Credit NBS, Tanzania in Figures 2022
View attachment 2708002View attachment 2708004
My Take
Hongera Mkoa wa Kigoma kwa kujikwamua kutoka mkiani.
Kagera ya wasomi nayo ipo?Watu wa Njombe mnaaibisha Mkoa wenu, tokeni Mikoa ya watu mje kuwekeza Mkoani kwenu