Licha ya mabaya na mapungufu yako ni tabia ipi nzuri toka kwako ungependa mwanao aifuate ili imsaidie maishani?

Licha ya mabaya na mapungufu yako ni tabia ipi nzuri toka kwako ungependa mwanao aifuate ili imsaidie maishani?

😂😂😂 ipi? Alafu hiyo avatar ya Ringo imenisumbua kukujua, nikajua tajiri kaenda Dubai kufunga mzigo bila kuniaga namna gani tena??
Dubai haina ramani ww kule wanaenda wale watoto wa makumbusho, sisi wakinga chimbo letu uchina
 
Kama kuna clone technology ipo active.. natamani sana nijitoe copy kuanzia mazuri mpk mabaya yangu ayarithi 100%.

Sometimes nakaa chini najiuliza kama mm ni Binadam wa kawaida? Kwa mtu anaenifaham vzr hawezi pingana na mimi ktk hii nadharia.
 
Tabia ambayo naipenda mwenyewe hadi najipenda naomba mwanangu aje awe nayo
1.Kuhisi hatari kabla haijatokea na namna ya kuikwepa.
2.kutomwamini mtu yeyote asilimia 50%.
3.kuwa msafi nadhifu.
4.Kutoropoka Ovyo iwe kwa watu au kwa mtu yeyote anapopiga nae story.
5.Kuwa makini mda wowote kwani adui anaweza kumtumia hata ndugu.
 
Dubai haina ramani ww kule wanaenda wale watoto wa makumbusho, sisi wakinga chimbo letu uchina
😂😂😂 Si ulikataa we sio mkinga?
Halafu hata wakinga Dubai wanaenda haswa wale wauza viatu vya TAIYU na OUDIHONG maduka yao makubwa yapo Dubs, na Spare za magari
 
😂😂😂 Si ulikataa we sio mkinga?
Halafu hata wakinga Dubai wanaenda haswa wale wauza viatu vya TAIYU na OUDIHONG maduka yao makubwa yapo Dubs, na Spare za magari
Spare zote za magari yote unapata Nairobi, Leo ndo naskia kuna viatu kutoka Dubai, ukitaka mzigo wa viatu njoo tuongee biashara viwanda kibao mkuranga unapata mzigo size unataka aina unataka inapigwa chapa "lamomy" unaletewa hadi store unakua na brand yako 😁mi unanipa tu tupeswa twa Kodi 20k per month

China unaagiza container Moja tu
 
Kwangu mie
Akiwa Real, msimamo, kujiamini na kujitambua.
Hakika ata enjoy life mnoo.
 
Sema kweliii??
😂😂😂 maokoto kwanza yazingatiwe, yani hata ikitokea nimekufa akihonga pesa hovyo namtokea kama mzimu, nacharaza bakora wote yeye na mpenzi wake!!! 🤣

Pesa zangu hazichezewi hovyo!! Mama yake nimekaza kutafuta yeye ujasili wa kuhonga anautoa wapi? Km baba ake Kantry ananipiga vibomu na nimekaza!!! Yeye nani?? 😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23] maokoto kwanza yazingatiwe, yani hata ikitokea nimekufa akihonga pesa hovyo namtokea mzimu, nacharaza bakora wote yeye na mpenzi wake!!! [emoji1787]

Pesa zangu hazichezewi hovyo!! Mama yake nimekaza kutafuta yeye ujasili wa kuhonga anautoa wapi? Km baba ake Kantry ananipiga vibomu na nimekaza!!! Yeye nani?? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu sikuweziii
 
Back
Top Bottom