Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dubai haina ramani ww kule wanaenda wale watoto wa makumbusho, sisi wakinga chimbo letu uchina😂😂😂 ipi? Alafu hiyo avatar ya Ringo imenisumbua kukujua, nikajua tajiri kaenda Dubai kufunga mzigo bila kuniaga namna gani tena??
😂😂😂 Si ulikataa we sio mkinga?Dubai haina ramani ww kule wanaenda wale watoto wa makumbusho, sisi wakinga chimbo letu uchina
Hahahakutumia muda mwingi sana nikiwa peke yangu. imenisaidia sana kutatua na kuepusha mambo mengi.
Spare zote za magari yote unapata Nairobi, Leo ndo naskia kuna viatu kutoka Dubai, ukitaka mzigo wa viatu njoo tuongee biashara viwanda kibao mkuranga unapata mzigo size unataka aina unataka inapigwa chapa "lamomy" unaletewa hadi store unakua na brand yako 😁mi unanipa tu tupeswa twa Kodi 20k per month😂😂😂 Si ulikataa we sio mkinga?
Halafu hata wakinga Dubai wanaenda haswa wale wauza viatu vya TAIYU na OUDIHONG maduka yao makubwa yapo Dubs, na Spare za magari
Sema kweliii??Kuwa na misimamo ya kimaisha haswaa suala la fedha, ili asije kuharibu nilichokitafuta kwa jasho na mahangaiko mengi.
😂😂😂 maokoto kwanza yazingatiwe, yani hata ikitokea nimekufa akihonga pesa hovyo namtokea kama mzimu, nacharaza bakora wote yeye na mpenzi wake!!! 🤣Sema kweliii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu sikuweziii[emoji23][emoji23][emoji23] maokoto kwanza yazingatiwe, yani hata ikitokea nimekufa akihonga pesa hovyo namtokea mzimu, nacharaza bakora wote yeye na mpenzi wake!!! [emoji1787]
Pesa zangu hazichezewi hovyo!! Mama yake nimekaza kutafuta yeye ujasili wa kuhonga anautoa wapi? Km baba ake Kantry ananipiga vibomu na nimekaza!!! Yeye nani?? [emoji23][emoji23]
Kweli nitageuka mzimu niwawashie moto mpk washangae!! 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu sikuweziii