Wacheni ujinga ninyi, hujaona tulivyowabana wanyarwanda baada ya kuwasumbua madereva wa Tanzania mpaka Rwanda na Tanzania zikafikia makubaliano?.
Ninyi wakenya ni wajinga sana, mngekua na akili mngejifunza na lile tukio la Rwanda baada ya kuwakataza madereva wa Tanzania na jinsi watanzania walivyojibu.
Kenya ni watu wa kulialia kila Mara, hata wakati tunakama mifugo tuka nchi za Jirani, tulikamata ng'ombe 3000 toka Rwanda na kuzitaifisha, Kenya tulikamata Ng'ombe 300 tu lakini mlipiga kelele kuliko Rwanda.
Sisi tutafanya vile tunavyopenda, mbona tukitaka tufunge mpaka kabisa tusiruhusu malori yenu yasifike Tanzania mnalalamika na kuomba msamaha?, bakini kwenu na sisi tubaki kwetu.
Sent using
Jamii Forums mobile app