Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva CoronaMalori yatapita, madereva watapimwa upende usipende.
Lazima mnyooke mpende msipende. Ndugu yako mkubwa lazima umsikilize na ufuate maagizo yake.
YAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva CoronaKipimo kimebaki pale pale, hamna kuingia kwa kung'ang'anizia.
Kila mtu kwao....
Kwanza naanza kwa kutanguliza shukrani kwa Watanzania kukubali kuiga Wakenya kwenye zoezi la kupima kila dereva anayeingia, hiyo sasa imewezesha sote tuongee lugha moja, pima huko na sisi tupime huku, hapo tunakua na uhakika wa usalama wa kiafya kwa watu wetu.
Ingewagharimu sana kama mngeendelea kuruhusu Wakenya walioathirika kuingia huko na kujiachia full bata. Ninachokifahamu ni kwamba madereva wote ukanda huu wanaambukizana kwa kasi maana wengi hulala kwenye magesti uchwara kwa vitanda ambavyo malazi hufuliwa hata mara moja kwa wiki, na huingia wakiwa walevi bila kujali nani kalala humo jana, hivyo lazima tutegemee mamia ya madereva kuathirika.
Kile ambacho labda kifanyike, wataalam wa nchi zote mbili washirikiane na kukubaliana aina gani ya mashini zitumike, kila anayekuja anapimwa, huku zoezi likishuhudiwa na wataalam wa pande zote, ila wa Tanzania akigunduliwa ana kirusi, anapokezwa kwenye mamlaka husika kimya kimya maana hao bado wanahangaika kuweka siri na kuendelea kuaminisha umma kwamba hamna tena corona kwao, hivyo kelele zote hizi zinatokana na hili la Kenya kutaja idadi ya madereva wa Tanzania walioathirika.
Sasa ili kupunguza makelele, upande wao ibaki siri, wawe wanataja kama nilivyoona juzi wakifanya, walitumia maneno kama "raia wa nchi ambayo haitatajwa kwa sasa", ila kwa upande wetu watajwe kabisa idadi yao wangapi waliogunduliwa.
Hapo nina uhakika tutaendana vizuri sana tena tutaongea lugha moja na kuendelea kuitana pumba za "undugu".
Hebu tuone kama mtaendelea na kamchezo kenu ka kuitaja taja Tanzania kwenye habari zenu za idadi ya maambukizi ya kila siku. Mkome kufikiri ni wajanja nyie nyang'au.
Hilo la kupima bado liko pale pale....hehehe hadi raha...
hahahahahahhhaHayo unasema wewe Ila mabwana zako wanaokufuga wameshaimamisha shingo kiblaYAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
MY TAKE
Can moderators edit the heading of this thread that seems to distort the agreement between Kenya and Tanzania? Here is Kenyan Government official aexplaining!
Moderator Invisible Maxence Melo