Licha ya maongezi ya kwenye simu baina ya Rais Uhuru na Magufuli, upimaji lazima ubaki pale pale

Licha ya maongezi ya kwenye simu baina ya Rais Uhuru na Magufuli, upimaji lazima ubaki pale pale

Muulize Uhuru atakujibu, kapiga simu zaidi ya Mara mbili kuomba Msamaha. Magufuli kwa kuzidi kumdhalilisha akalisema hadharani kwamba alinipigia na kumuomba msamaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahaha!!
Statement ya pili jiwe kashindwa kuinyoosha km yeye ndio kampigia simu siku ya pili[emoji23][emoji23][emoji23]

Eti jana uhuru alinipigia simu........
Na leo pia niliongea naye [emoji23][emoji23][emoji23]
Wajanja wameshaelewa
Screenshot_20200520-193438_Opera%20News~2.jpg
Screenshot_20200520-193441_Opera%20News~2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia rahisi ya kuondoa hizi longolongo ni kama ile aliyopendekeza mkuu wa mkoa wa Tanga, kwamba hakuna kuruhusu malori ya Tanzania wa Kenya, ninashanga Uhuru Kenyatta anaomba msamaha ili malori yaruhusiwe, hii ni dalili kwamba Kenya haiwezi kuishi bila Tanzania, wakati ninyi mnasisitiza kupima, sisi tunasisitiza kufunga kabisa mipaka, tuone nani ni kidume kati ya Kenya na Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Malori yatapita, madereva watapimwa upende usipende.
 
Kwanza naanza kwa kutanguliza shukrani kwa Watanzania kukubali kuiga Wakenya kwenye zoezi la kupima kila dereva anayeingia, hiyo sasa imewezesha sote tuongee lugha moja, pima huko na sisi tupime huku, hapo tunakua na uhakika wa usalama wa kiafya kwa watu wetu.

Ingewagharimu sana kama mngeendelea kuruhusu Wakenya walioathirika kuingia huko na kujiachia full bata. Ninachokifahamu ni kwamba madereva wote ukanda huu wanaambukizana kwa kasi maana wengi hulala kwenye magesti uchwara kwa vitanda ambavyo malazi hufuliwa hata mara moja kwa wiki, na huingia wakiwa walevi bila kujali nani kalala humo jana, hivyo lazima tutegemee mamia ya madereva kuathirika.

Kile ambacho labda kifanyike, wataalam wa nchi zote mbili washirikiane na kukubaliana aina gani ya mashini zitumike, kila anayekuja anapimwa, huku zoezi likishuhudiwa na wataalam wa pande zote, ila wa Tanzania akigunduliwa ana kirusi, anapokezwa kwenye mamlaka husika kimya kimya maana hao bado wanahangaika kuweka siri na kuendelea kuaminisha umma kwamba hamna tena corona kwao, hivyo kelele zote hizi zinatokana na hili la Kenya kutaja idadi ya madereva wa Tanzania walioathirika.
Sasa ili kupunguza makelele, upande wao ibaki siri, wawe wanataja kama nilivyoona juzi wakifanya, walitumia maneno kama "raia wa nchi ambayo haitatajwa kwa sasa", ila kwa upande wetu watajwe kabisa idadi yao wangapi waliogunduliwa.
Hapo nina uhakika tutaendana vizuri sana tena tutaongea lugha moja na kuendelea kuitana pumba za "undugu".
NIMEPIGIWA SIMU NA RAIS UHURU-JPM.

kikawaida mwenye shida humtafuta mtatuaji wa shida yake!
 
Msamaha kuhusu nini exactly? Mbona unashindwa kuthibitisha? Alikua asamehewe kwenye kipi exactly? Mbona mpaka bado UMEFUNGWA? Mbona madereva kutoka kwenu bado wamepanga foleni wakingoja kupimwa ndio waingie nchini? 😹
You feel bitter, Uhuru was first to blink!hahaha, KENYA HAS BOWED BEFORE TZ.inawauuuuuuuma.
 
You feel bitter, Uhuru was first to blink!hahaha, KENYA HAS BOWED BEFORE TZ.inawauuuuuuuma.
Haha if that makes you sleep at night, then by all means Uhuru was the first to blink. Happy? Bye bye 👋 😹
 
Malori zitapita mipaka ya Kenya na Tanzania na madereva wote kupimwa upende usipende.
Watu kupimwa sio jampo la ajabu,sisi tulichopinga ni vile mlikuwa mnajaribu kuipaka matope TZ,watu wote duniani wanapimwa,na sio Kenya inawapima watu wanaoingia,lakini tusubiri mkutano wa mawaziri tuone matokeo yake,so long as nyinyi ndio mmeanza kutulamba viatu,sitarajii mazungumzo kuwa mazuri upande wenu,dalili ya mvua ni Mawingu.ila you have bowed down before us! Inawaumaaaaaaa!
 
Haha if that makes you sleep at night, then by all means Uhuru was the first to blink. Happy? Bye bye 👋 😹
Hii ya Uhuru kumpigia simu,inanifurahisha sana,Yaani nahisi moyo wangu kusuzika.aibu sana kwenu,sisi mlipofunga mipaka,sisi viongozi wetu walinyamaza,kumbe wanaqajulia Manugu nyinyi. Toka Jana nalala usingizi mzito kinoma jirani.
 
Sasa panguza machozi kisha ujirudie tena. Sisi bado tumeshikilia MSIMAMO wetu mpakani madereva wenu wako foleni wakingoja kupimwa kabla ya kuingia. Mkulu wenu AMEWAAMRISHA wakuu wenu wakutane na wetu watatue mgogoro. 😹
 
Watu kupimwa sio jampo la ajabu,sisi tulichopinga ni vile mlikuwa mnajaribu kuipaka matope TZ,watu wote duniani wanapimwa,na sio Kenya inawapima watu wanaoingia,lakini tusubiri mkutano wa mawaziri tuone matokeo yake,so long as nyinyi ndio mmeanza kutulamba viatu,sitarajii mazungumzo kuwa mazuri upande wenu,dalili ya mvua ni Mawingu.ila you have bowed down before us! Inawaumaaaaaaa!
Lazima mnyooke mpende msipende. Ndugu yako mkubwa lazima umsikilize na ufuate maagizo yake.
 
Back
Top Bottom