Licha ya maongezi ya kwenye simu baina ya Rais Uhuru na Magufuli, upimaji lazima ubaki pale pale

Nyungu season two inazinduliwa mkuu povu ruksa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Huu ndio ule UJINGA ninayosema umesheheni JUMUIYA ya MUUNGANO wa tanzania 😹😹. Fungueni kote, hayatuhusu ndewe wala sikio.
 
Hahaha Isha ndefu sana hii. Sijaimaliza lakini inaonekana unalia lia sana. Tambua ya kwamba sisi na Rwanda, Zambia etc. huwezi tu linganisha. KENYA bado tumeshikilia msimamo wetu mpakani. INAUMA lakini mtazoea tu
Uhuru ameshaomba msamaha kwa Magufuli, tumewaambia baada ya wiki moja ndio tutakuja kuwasikiliza. Hamna ubavu wa kushindana na Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru ameshaomba msamaha kwa Magufuli, tumewaambia baada ya wiki moja ndio tutakuja kuwasikiliza. Hamna ubavu wa kushindana na Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msamaha kuhusu nini exactly? Mbona unashindwa kuthibitisha? Alikua asamehewe kwenye kipi exactly? Mbona mpaka bado UMEFUNGWA? Mbona madereva kutoka kwenu bado wamepanga foleni wakingoja kupimwa ndio waingie nchini? 😹
 
akuna roli la kenya kuingia tz ni kufaulisha mizigo hapo mpakani.
labda odinga alietumwa na uhuru kuja kuomba msamaha akikubaliwa na serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa kulezega masharti tuliyoweka mipakani.
Msamaha kuhusu nini exactly? Mbona unashindwa kuthibitisha? Alikua asamehewe kwenye kipi exactly? Mbona mpaka bado UMEFUNGWA? Mbona madereva kutoka kwenu bado wamepanga foleni wakingoja kupimwa ndio waingie nchini? [emoji81]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara 100 kivipi? [emoji81][emoji81] hukusikia waziri wetu akisema for every 130 trucks/trailers from TZ into KE, only around 30 leave KE for TZ.

Anyway, bado zote ni biashara.
sasa hapo hujaelewa nini,si ndicho nimeandika hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
sasa hapo hujaelewa nini,si ndicho nimeandika hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mwenyewe hujielewi!! Inaonesha kwamba TZ needs KE more than KE needs TZ. For every 100 trucks getting into KE from TZ, 30 leave KE to TZ. Tafakari.
 
Wewe mwenyewe hujielewi!! Inaonesha kwamba TZ needs KE more than KE needs TZ. For every 100 trucks getting into KE from TZ, 30 leave KE to TZ. Tafakari.
wewe ni mbuzi mkuu.

embu kanywe chai kwanza.
unadhani hizo truckas 100 zikiziuiwa na 30 zikizuiwa ni upande upi utakuwa wa kwanza kupiga kelele za mbwa mwizi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Msamaha kuhusu nini exactly? Mbona unashindwa kuthibitisha? Alikua asamehewe kwenye kipi exactly? Mbona mpaka bado UMEFUNGWA? Mbona madereva kutoka kwenu bado wamepanga foleni wakingoja kupimwa ndio waingie nchini? [emoji81]
Muulize Uhuru Kenyatta kwamba, mbona Magufuli anawatangazia watanzania hadharani kwamba ulimpigia simu na kumuomba msamaha, ni msamaha gani uliomuomba?, atakujibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutawaletea samples za papaya na. Mbuzi
 
Anataka kutuletea story za hovyo zilizobuka km zile za makinikia na Korosho
 
Now you are talking!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…