Licha ya maongezi ya kwenye simu baina ya Rais Uhuru na Magufuli, upimaji lazima ubaki pale pale

Muulize Uhuru atakujibu, kapiga simu zaidi ya Mara mbili kuomba Msamaha. Magufuli kwa kuzidi kumdhalilisha akalisema hadharani kwamba alinipigia na kumuomba msamaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahaha!!
Statement ya pili jiwe kashindwa kuinyoosha km yeye ndio kampigia simu siku ya pili[emoji23][emoji23][emoji23]

Eti jana uhuru alinipigia simu........
Na leo pia niliongea naye [emoji23][emoji23][emoji23]
Wajanja wameshaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malori yatapita, madereva watapimwa upende usipende.
 
hatuwezi kuruhusu wale wenye coronavirus kuja kwetu
 
NIMEPIGIWA SIMU NA RAIS UHURU-JPM.

kikawaida mwenye shida humtafuta mtatuaji wa shida yake!
 
Msamaha kuhusu nini exactly? Mbona unashindwa kuthibitisha? Alikua asamehewe kwenye kipi exactly? Mbona mpaka bado UMEFUNGWA? Mbona madereva kutoka kwenu bado wamepanga foleni wakingoja kupimwa ndio waingie nchini? ๐Ÿ˜น
You feel bitter, Uhuru was first to blink!hahaha, KENYA HAS BOWED BEFORE TZ.inawauuuuuuuma.
 
You feel bitter, Uhuru was first to blink!hahaha, KENYA HAS BOWED BEFORE TZ.inawauuuuuuuma.
Haha if that makes you sleep at night, then by all means Uhuru was the first to blink. Happy? Bye bye ๐Ÿ‘‹ ๐Ÿ˜น
 
Malori zitapita mipaka ya Kenya na Tanzania na madereva wote kupimwa upende usipende.
Watu kupimwa sio jampo la ajabu,sisi tulichopinga ni vile mlikuwa mnajaribu kuipaka matope TZ,watu wote duniani wanapimwa,na sio Kenya inawapima watu wanaoingia,lakini tusubiri mkutano wa mawaziri tuone matokeo yake,so long as nyinyi ndio mmeanza kutulamba viatu,sitarajii mazungumzo kuwa mazuri upande wenu,dalili ya mvua ni Mawingu.ila you have bowed down before us! Inawaumaaaaaaa!
 
Haha if that makes you sleep at night, then by all means Uhuru was the first to blink. Happy? Bye bye ๐Ÿ‘‹ ๐Ÿ˜น
Hii ya Uhuru kumpigia simu,inanifurahisha sana,Yaani nahisi moyo wangu kusuzika.aibu sana kwenu,sisi mlipofunga mipaka,sisi viongozi wetu walinyamaza,kumbe wanaqajulia Manugu nyinyi. Toka Jana nalala usingizi mzito kinoma jirani.
 
Sasa panguza machozi kisha ujirudie tena. Sisi bado tumeshikilia MSIMAMO wetu mpakani madereva wenu wako foleni wakingoja kupimwa kabla ya kuingia. Mkulu wenu AMEWAAMRISHA wakuu wenu wakutane na wetu watatue mgogoro. ๐Ÿ˜น
 
Lazima mnyooke mpende msipende. Ndugu yako mkubwa lazima umsikilize na ufuate maagizo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ