Licha ya maongezi ya kwenye simu baina ya Rais Uhuru na Magufuli, upimaji lazima ubaki pale pale

Kipimo kimebaki pale pale, hamna kuingia kwa kung'ang'anizia.
Kila mtu kwao....
 
Mpaka haibu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
YAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva Corona

habarileo.co.tz17h

[https://res]

NCHI za Tanzania na Kenya zimeafikiana kuwa madereva watatakiwa kupimwa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona katika nchi zao na kupewa cheti maalum kitakachowatambulisha kutokuwa na maambukizi ambacho kitakuwa halali kwa siku 14 pekee.

Baada ya siku hizo kukamilika, madereva hao watalazimika kupimwa tena wakiwa nchini Kenya au Tanzania na endapo watagundulika, watarudishwa katika nchi zao.

Hayo yameelezwa leo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwele leo, Ijumaa, mpakani Namanga baada kumalizika kikao kilichomjumuisha Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, James Macharia.

Kukutana kwa mawaziri hao na hatimaye kufikia makubaliano hayo kumetokana na mazungumzo yaliyofanyika hivi karibuni kwa njia ya simu baina ya Rais John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya.

Akiwa mkoani Singida, Rais Magufuli alibainisha kuwa wameshamaliza sintofahamu hiyo hivyo ilikuwa ni suala la watendaji wa serikali zote mbili kukutana.


Hilo la kupima bado liko pale pale....hehehe hadi raha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 


MY TAKE
Can moderators edit the heading of this thread that seems to distort the agreement between Kenya and Tanzania? Here is Kenyan Government official aexplaining!

Moderator Invisible Maxence Melo
πŸ‘‰ πŸ‘‰ πŸ‘‰ Siku hizi mara madereva wa Tanzania 51 wana Corona imeishia wapi mbona hawatangazi "JPM mwenyezi Mungu akupe maisha marefu saana"πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…