Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

Andiko zuri sana hili japo utapata upinzani ila Hongera Sana

Hakuna kama Rais Samia tukubali hivyo,
 
tumpigie makofi kiongozi wetu mkuu kwa jambo hilo.
 
Wanaweza wakatumia hata daladala lakin bado tukapigwa tuu.
Hao ni wanasiasa. Usiwaamini hata kidogo.
 
Huyo ataishi kusafiri na kupiga picha tu,kichwani ni mweupe hajui hata kma yeye ni raisi,
Anachojua ni kuisema jinsia yake,hotuba zake zote ni utopolo mtupu,usimfananishe Hichilema na watu wenye zero brain
 
Daaah,

Ila huyu mama kuna kitu ndani yake, Unaweza kuacha Boing limepaki ukarukie Emirates na wapiganaji, Kweli huu ndio Uzalendo
Kwani yule kaburu aliyekuwa anakamata ndege zenu mlishamalizana naye? 😆😆😆
 
Hili swali nimekua nikijiuliza sana kwamba,marais wakike ni ubinafsi ama ni kitu gani mbona hatumwoni huyu baba kwenye mishemishe za mheshimiwa,ili khali marais wa kiume tuliona wakati mwingine wakiongozana na wake zao.
Umeshajiuliza kwa nini Maza anawadharau sana wanaume?
 
muanzisha uzi bila shaka wewe ndiye uliye_edit lile gazeti kule scotland.
 
Hiki ni kweli kitu cha kujivunia, kiongozi wetu hana makuu.
 
Mada nzuri sana hii hongera mwandishi hongera Rais wetu Mzalendo wa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…