Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

Rais Hakainde Hichilema kutoka Zambia na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka Tanzania ndio marais pekee kutoka Africa wanaokwenda ng'ambo kwa kutumia ndege za abiria|Umma.

Rais Samia Suluhu wa Tanzania pamoja na kuwa na ndege mpya 11 zikiwemo zenye uwezo wa kuruka moja kwa moja kwa zaidi ya masaa 20 angani bado ameendelea kutumia Usafiri wa abiria|umma,

Wakati tukimngonjea pale JNIA akitokea Glasgow Scotland alikokwenda kutuwakilisha kwenye mkutano wa 26 wa Kujadili kuhusu mabadiliko ya tabianchii ( COP26 ) unaoendelea hadi trh 12|11|2021 tulidhani angeshuka pengine na lile Boing 787-800 letu,

Maajabu ya kutia moyo ni kwamba Rais wetu akiwa na Ujumbe wake wa watu wachache alishuka kwenye ndege ya abiri mali ya sherika la ndege la Emirates ( Emirates Airline )

Ujumbe Wangu nataka Watanzania tuelewe mama huyu hayupo kufanya Starehe yeyote, Mama huyu yuko kuwapambania Wananchi wake tu ndio maana hataki makuu anaacha ndege mpya 11 zimepaki anakwenda kurukia Emirates wakati huo huo wenzake wanakwenda na ndege zao binafsi,

Mfano, Rais Samia Suluhu katika Safaris ile ya New York kwenye UNGA Rais mwenzake toka Africa -Angola alitumia Jumla ya TZS 9.5BL licha ya nchi yake kuwa na deni kubwa kiasi cha kutaka kufilisiwa na China,Huyu ndio Samia Suluhu Rais Mzalendo wa kweli tuliyepewa na Mungu wetu,

View attachment 1999740
Halafu huu ujinga wa kumsifia kila siku na kwa kila kitu wala hapendi. mnaumwa nini?
 
Hakainde anakubalika duniani sio kwa sababu anapanda ndege ya umma bali ni mwanademokrasia wa kweli na mpenda haki za binadamu,yeye sio dikteta. Ndie Rais anaekubalika sana duniani kwa sasa kuliko wengineo kusini mwa jangwa la Sahara.

Kumlinganisha Hakainde na 'vitu' vya ajabu ni kumchafua ,kumkosea adabu na kuinajisi democracy.

Ata ivyo muovu kupenda sana afanane na malaika ili akubalike lakini uwa haiwezekani siku zote.
 
Huyo ataishi kusafiri na kupiga picha tu,kichwani ni mweupe hajui hata kma yeye ni raisi,
Anachojua ni kuisema jinsia yake,hotuba zake zote ni utopolo mtupu,usimfananishe Hichilema na watu wenye zero brain
Nakujua wewe ni chizi so sishangai
 
Back
Top Bottom