Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

Halafu huu ujinga wa kumsifia kila siku na kwa kila kitu wala hapendi. mnaumwa nini?
 
Hakainde anakubalika duniani sio kwa sababu anapanda ndege ya umma bali ni mwanademokrasia wa kweli na mpenda haki za binadamu,yeye sio dikteta. Ndie Rais anaekubalika sana duniani kwa sasa kuliko wengineo kusini mwa jangwa la Sahara.

Kumlinganisha Hakainde na 'vitu' vya ajabu ni kumchafua ,kumkosea adabu na kuinajisi democracy.

Ata ivyo muovu kupenda sana afanane na malaika ili akubalike lakini uwa haiwezekani siku zote.
 
Huyo ataishi kusafiri na kupiga picha tu,kichwani ni mweupe hajui hata kma yeye ni raisi,
Anachojua ni kuisema jinsia yake,hotuba zake zote ni utopolo mtupu,usimfananishe Hichilema na watu wenye zero brain
Nakujua wewe ni chizi so sishangai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…