Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

Uzalendo
 
Uzalendo huu sijawahi kuona
 
Uzalendo huu sijawahi kuona
 
Uzalendo
 
Nafurahi kuona haya Tanzania
 
Hongera
 
Inawezekana ndege zetu siyo salama Kwa masafa marefu...
 
Huyo ataishi kusafiri na kupiga picha tu,kichwani ni mweupe hajui hata kma yeye ni raisi,
Anachojua ni kuisema jinsia yake,hotuba zake zote ni utopolo mtupu,usimfananishe Hichilema na watu wenye zero brain
Ungeweza ungemfufua JPM ili aendelee mpaka 2025, lakini hakuna mwenye uwezo huo hivyo punguza njozi zenye maumivu.
 

Mbona wakati anaondoka hamkutuonesha aliondoka na Ndege gani? Pia kwanini siku hizi hamtuambii Ujumbe anaofuatana nao ? Zamani Ikulu ilikuwa inasema watu wanaojumuika na Rais katika safari za nje!!! Hapo ndipo tukajua Kikwete alikuwa anampoza Zitto kwa kusafiri nae ili apate posho ya kumyamazisha!!
 
Huyu mama nampenda sana, Mungu ampe maisha marefu binafsi ananifaa sana
 
😍😍 Kwaa au unadhani aliondoka kwa miguu?
 
Wapo pia Marais WAZALENDO wasio-priortize hizo safari, wameona hazina tija!!!
 
Duh! Umejua gharama za Rais a Angola lakini pamoja na kumsifia sana Mama hujasema ametumia shilingi ngapi! Ahahahahahah!
 
😍😍 Kwaa au unadhani aliondoka kwa miguu?
Kama aliondoka na commercial flight mbona hawakutuonesha kama walivyoonesha wakati wa kurudi? Halafu delegation aliofuatana nao hawawaoneshi wanaonesha security detail yake basi!!! Kwanini mnaficha ficha vitu; hapo ndio watu wanapoanza kuuliza maswali mtakayoshindwa kuyajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…