Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

Kwani hilo nitatizo la Serikali au mpiga picha?
 
Mzalendo wa kweli
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Click to expand...
Kwa kazi hizi huyu mama ajengewe Mnara pale Dodoma ili kumuenzi,

Haya mambo anafanya hayakutegemewa kabisa hata siku moja,

Hongera Sana Rais Samia
 
 
We Proud of you mama
 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 

Hichilema naye anatumia dreamliner ndani ya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…