Ni hatari sana kwa nchi kuenda kusaini mikataba nje ya nchi hasa mikataba inayotakiwa kufanyika ndani ya nchi, idadi ya watu wanaoenda kwa ajili ya kusaini hiyo mikataba ni idadi kubwa sana, fikiria posho zao (per diem). Kuna haja gani kwenda kusaini mikataba nje ya nchi?..ccm inamaana imefikia uwezo wa mwisho wa kufikiri kweli?..hizo ngozi nyeupe huko nje nadhani zitaendelea kutuona nyani ambao hatuna akili. Yaani hapa naona watu wapo bize kukopa sana huku wanajilipa sana maposho, sidhani kama rais anaweza kupanda ndege ya abiria hasa ukizingatia usalama wake...wasituhadae na kutufanya mapoyoyo kwakweli. Rais wetu hawezi panda ndege na abiria humohumo...usalama wa nchi utakuwa mashakani, mimi binafsi siamini hilo jambo..naitwa TOMASO