Yaani Israel wanapiga hadi raha, haijalishi umesalimu amri au la
View: https://twitter.com/i/status/1735629020476158067
Heheeeeee hii propaganda yake ilibuma kwel kwelNilidhani yenye raha zaidi ni hii ya kukomboa mateka kijogoo?
Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa
Au mateka walisusa kukombolewa?
Lete source ya ulichokiandika.Hamas wanarusha maroketi nchini Israel karibia kila siku sema hayaleti madhara makubwa kwa sababu ya kuzuiwa na ulinzi wa anga, tena maroketi yanarushwa kutoka gaza kaskazini ambapo vikosi vya Israel vimejazana.
Na pia unacho takiwa kujua ni kuwa mpaka sasa hivi Israel inadhibiti%30 tu ya ukanda wa gaza.
Mambo ya kujifanya mchambuzi wa vita ,kuokoteza taarifa kweny blogs zako za vijijini ndio hayo.
Hao wenzio hawana huruma hata sisimi wanapelek na ulivyokuwa hanithi unasema wale watanzania wamechinjwa na Hamas.
Wauane mara ngapi? Kwenye battle field kukiwa na miscommunication mtakulana vichwa tu.Haya wakianza kuuwana wenyewe pia useme ni mbinu ya adui
Hao jamaa ni makatili sana tangu nione kuna video wanawatemea mate wagalatia huko israel ,nashangaa sana wagalatia kuendelea kukumbatia hawa jamaa.Hata mateka wao mwanamke na kitambaa cheupe akiashiria wakamchukue:
View attachment 2844178
Naye ni HAMAS.
Bure kabisa!
Kama umekubali kwamba sasa hivi hakuna rockets zinarushwa kutokea Gaza basi hiyo inadhihirisha kwamba Israel ana control sehemu kubwa ya GAZA.Urushe rockets kwenda huku yakazi gani wakat adui kaja ghetto
Kwasasa wanafinyiwa humo humo ndani mpaka wakimbie
Ile pigo la October 7 ilikua mahsusi mazayuni yaje ghetto na kweli yamekuja angalia yanavyo finyangwa kama udongo
Hao jamaa ni makatili sana tangu nione kuna video wanawatemea mate wagalatia huko israel ,nashangaa sana wagalatia kuendelea kukumbatia hawa jamaa.
Umeona mbali sana ila tatizo Israel kwa dunia hii ya sasa hawezi kusemwa wala kupata sanction kwa namna yeyote ile.
Walio chukua ardhi sio zao walaniwe na wauliwe wote.Walioanzisha hii vita wanastahili kuuliwa
Umeona mbali sana ila tatizo Israel kwa dunia hii ya sasa hawezi kusemwa wala kupata sanction kwa namna yeyote ile.
Tuonyesheni wapi Hamasi aliuwa watoto wa Israel au wanawake? Hamasi ni waislam hawezi uwa mtu asiye na hatia.Daktar anaefurahi watoto wa israel kuuawa , huyo hapasw kuchekewa , udaktari sio kificho cha uharifu
Wamechanganyikiwa?Wauane mara ngapi? Kwenye battle field kukiwa na miscommunication mtakulana vichwa tu.
Sio sehemu kubwa ana kontrol ghaza yote namateka wote kakomboaKama umekubali kwamba sasa hivi hakuna rockets zinarushwa kutokea Gaza basi hiyo inadhihirisha kwamba Israel ana control sehemu kubwa ya GAZA.
Bora hili lililoshindwa na panya road maana halijawahi kusifiwa na kupaishwa kama hilo la mazayuni ambalo lilikuwa na misifa kemkem kumbe mafara tuNi sw na jeshi lililowashindwa panya road?
Huyo sio mkuu bro ni pimbi mmoja tu mtetea udhalimu.Hana maana kabisaHatari sana Mkuu.
VITA NI USHETANI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Sawa mke wa HamasIdiot Diaper force (IDF)
Jeshi la hovyo lililokuwa overrated
Kama hujui huo ni uzembe wako kwa sababu vyanzo vya habari vimejaa.Lete source ya ulichokiandika.
Nimerudia kuangalia iwapo ni wewe kweli au majina mmefanana.Yaani wanafyatua chochote kinachopumua, inaonekana jamaa hawana haja tena na hao mateka, wanaua tu chochote, dah! HAMAS popote walipo lazima imeshawaingia akilini hamna pakutokea ila kifo......kwamba hapa hata wakisema wako tayari kupokeza mateka hawatasklizwa.
Israeli hostages killed mistakenly in Gaza were holding white flag, official says
Peter Beaumont
An initial IDF probe into the hostage killing incident suggests all three men were shirtless, with one carrying a makeshift white flag.
On seeing them, one Israeli soldier shouted “terrorists!” to the other forces, initiating fire at the men, according to reports.
While two hostages were hit immediately and fell to the ground, the third managed to escape into a nearby building where despite pleas in Hebrew, he was also shot and killed, a military official said.
Al Jazeera asks legal team to refer journalist’s killing to ICC – as it happened
This blog has now closed. Read our full report on the latest developments here.www.theguardian.com
Vipi hapo ushapakwa mafuta kuchobekwa mshedede we shoga la magharibi kutoka Katavi?Sawa mke wa Hamas