Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

Nipigie pande basi huyo sista wako...ila tako analo?
 
Shida Dada anasura mbovu na anajiona sana ,
 
Kuna wanawake wengine wana masimango sn,,

Kuanzia upo nae unagegeda yeye analalamika tu,
Kila unavyomueka mnasumbuwana,,

Unadhani mwanamke kama huyo nani ataoa?

Uzuri wa mwanamke sio elimu yake wala Kazi yake..

Uzuri wa mwanamke ni yaliyomo ndani ya chupi yake.

Mengine mbwembwe tu.
 
Tatizo la wanawake haswa wenye elimu na kazi moja Kati ya vigezo vyao vya mume mtarajiwa lazima awe na gari, kazi nzuli na awe na nyumba kama hana basi awe amepanga nyumba Nzima

Wakati huo huo upande wa familia wanataka dada apate mume mwenye ajira nzuli na nyumba nzuli ili dada akiolewa watu wote tukajazane kwa shemeji kwake ......

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
mwambie ajisajili dating sites,awe mtulivu asidanganywe na madanga huku akiomba Mungu atapata mme
 
Km ni vigezo vyake kiundani sijui, nyumbani kila mtu ana harakati zake, hakuna anaetarajia kwenda kwa shemeji, kikubwa ni yeye apate tulizo la nafsi, pia hatupendi azae akiwa nyumbani bila ya ndoa.
 
Mhhh kuna jambo nyuma ya pazia . pengne kaoa nyie mnasubr aolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…