Yaan mdada ukishakua na presha ya kuolewa lazima utavuruga tu. Muambie atulie apige kazi mume atakuja tu vinginevyo ataangukia kwa kitu cha ajabu aje jutia maisha yake yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mume anakuja kama upo sehemu sahihi.
Mume ni kama maji ili uyapate lazima uwe kisimani, bombani, kwenye mvua, ama mtoni.
Maji utapata ukiwa sehemu hizo ila hayo maji hayafanani ubora. Quality ya maji ya bombani ni tofauti na ya mtoni na kisimani.
Ila sababu una shida ya maji utaamua mwenyewe utachote ya mtoni ama usubiri ya bombani