Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Dalili ya strategy ya TAPELI, kuweni makini mtapigwa sio MDA MREFU....
hapana si tapeli..mimi mwenyewe ndio nahitaji kujua nitazipata wapi tu, sio kwamba ni dili la kiivyo nahitaji tu kijua wapi ntazipata kwa wingi basi
 
hapana si tapeli..mimi mwenyewe ndio nahitaji kujua nitazipata wapi tu, sio kwamba ni dili la kiivyo nahitaji tu kijua wapi ntazipata kwa wingi basi

Vyema kama hauna nia mbaya, samahani kama nimekukwaza, tumepigwa sana ndo maana tunapeana taarifa mkuu, dont take it personal.
 
Nakumbuka tulikua tunaziita "kada" na tulikua tunazichezea kama gololi.
Zipo nyingi tu lushoto, ila nna miaka mingi sijafika huko
 
kesho inabidi nifunge safari kuelekea mbeya wewe ni mtu wa tatu waniambia..nazihitaji nyingi hata tani kumi
Niliwahi kwenda Mwakaleli nilizifaidi sana hizi karanga. Lakini sijui jina lake halisi

Kule wakulima wengi hawajaziweka kama zao la biashara. Wanapanda hii mikaranga kwenye uzio sana.

Nashauri uende huko ukiwa na plan yako A pia andaa na plan B ya continuity.
 
Songea wanaziitaga karanga miti.zina mafuta sana na radha kama ya korosho,,,but they are rarely available
 
Back
Top Bottom