Life affairs: Uliza chochote ujibiwe live hapa

hivi ni kwa nini wanaume wengi wenaenjoy chumamboga na wanawake wengi wanaenjoy kifo cha mende. unadhani kipi kifanyike ili wote wafurahi ukizingatia kwamba wanaume wengi wanaenda goli moja tu chaaali.
 
Nitajaribu kuupika na huo .
 
Hebu fafanua kidogo hapo kwenye vitunguu na sisi ma senior B tupate kauzoefu.
 
Napenda sana mchele mchele I mean.wali na pilau plus kuku.yaani nikimuona hata kuku kakatiza mahali nachanganyikiwa yaani

Wewe uko km mm..yaan mie nipike kwangu bila nyama nyama?naonga mos umepoaa!
Mie napenda nyama(ila ya ng'ombe siku hiz siipendi)
Mie ni maini, samaki mbichi, figo, firigisi😋, mbuzi, kuku, yaan vurugu zote za nyama nikikupikia lazima ujirambe!mwe mm maharage naweza nikaka ht 6yrs sijala..siyapend!bas tu kwangu wanayapenda balaa..nakulaga mkono shavuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…