Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hujajibu swali bibieSasa Mimi nitajuaje mipango ya mtu mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali bibieSasa Mimi nitajuaje mipango ya mtu mkuu?
Njungumawe hata sijawai kuzila.ngoja nijaribu best
Me nafua banaUmesahau unapenda kuvaa ila hupend kufua
Me nafua bana
Shosti naona umelizolomola,hayo maswali sidhani kama utajibu
Mie ni mpenzi sana sana wa madiko diko miss natafta!..kuna hotel moja nilikula mchicha wao[emoji39][emoji39]..ukanibariki sana huo mchicha..leo nimeupika!
Kaanga km unavyokaanga mchicha wako..ila ukiepua ndo unaweka vitunguu vyako sasa..viwe vingi..jaman kitu kinatoka na ladha ya ajabu!
Likizo tym!
Hebu fafanua kidogo hapo kwenye vitunguu na sisi ma senior B tupate kauzoefu.Mie ni mpenzi sana sana wa madiko diko miss natafta!..kuna hotel moja nilikula mchicha wao😋😋..ukanibariki sana huo mchicha..leo nimeupika!
Kaanga km unavyokaanga mchicha wako..ila ukiepua ndo unaweka vitunguu vyako sasa..viwe vingi..jaman kitu kinatoka na ladha ya ajabu!
Likizo tym!
Kipotabo
Hebu fafanua kidogo hapo kwenye vitunguu na sisi ma senior B tupate kauzoefu.
Naomba nialike siku nije nijisithibitishie haya usemayo Mamii
Napenda sana mchele mchele I mean.wali na pilau plus kuku.yaani nikimuona hata kuku kakatiza mahali nachanganyikiwa yaani
Hhahaaa...sikujua..mie hayo mayogurt yananinenepeshaga naona!mie juic y passion!awwVinywaji napenda pia yorgut saaana si unajua inasaidia pia papuchi iwe na afya
Ikoje hio Mkurugenzi??? Hongera kwa Ugeni nimekuona unauliza swali kwa hisia sana
One sec akiingia tu mi hoiSwali langu mm ni..
You take how many minutes kukojozwa cha kwanza??
Hebu acheni bas mambo haya jaman😎😎😎!One sec akiingia tu mi hoi
Aah we myb hujazipatia kwenye mapishi
Hebu acheni bas mambo haya jaman[emoji41][emoji41][emoji41]!
One sec akiingia tu mi hoi