Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Best nafanya juhudi za kujivua gamba 🤣 🤣 kwa hiyo kwa kiswahili rahisi vitunguu tunaweka vibichi?Yaan ww ni zaidi ya senior😅😅 .sijui hujioni😜😜!katakata vitunuu vingi kaanga mchicha wako..ukishaukaanga ukishaushusha jikoni mwagia juu vitunguu vyako!ulika unapata taste moja nzuri sana
Yaani kuna sehemu nilienda nikakuta bei ya nyama aina zote ni moja. ukitaka nyama ya mbuzi kilo 6000/- ukitaka ya kitimoto 6000/- ngombe, ukitaka kuku elfu 6 ukitaka nyama ya ngombe bei hiyo hiyo. kimoyo moyo nikajisemea FursaKibao si nikikaa huku nitakuwa na kitambi in no time? baada ya siku 3 nikarudi zangu mjini.Wewe uko km mm..yaan mie nipike kwangu bila nyama nyama?naonga mos umepoaa!
Mie napenda nyama(ila ya ng'ombe siku hiz siipendi)
Mie ni maini, samaki mbichi, figo, firigisi😋, mbuzi, kuku, yaan vurugu zote za nyama nikikupikia lazima ujirambe!mwe mm maharage naweza nikaka ht 6yrs sijala..siyapend!bas tu kwangu wanayapenda balaa..nakulaga mkono shavuni
hata kwenye taarifa za habari kuna mda wanaweka matangazoSasa Ushakuwa Uzi wa mapishi huu [emoji848]
Swali langu kwako kwa nini umependa tukuulize maswali umelenga nini haswa cha msingi ?
Je tunaweza faidika na majibu yako kwa namna yeyote kama ndio kivipi hasa ?
Swali la mwisho la kizushi we ni feminist ?
Huna kipoozeo?Hebu acheni bas mambo haya jaman[emoji41][emoji41][emoji41]!
Kuna watu wapenda stress muda wotehata kwenye taarifa za habari kuna mda wanaweka matangazo
una kilo ngapi kwa sasa?Sasa Mimi nitajuaje mipango ya mtu mkuu?
Nashangaa. kuna maswali kakuuliza; hasa la pili na la mwisho, mpe majibu tafadhaliKuna watu wapenda stress muda wote
ukila haitakiwi uwe jirani na mtu, maana unaweza aibika,, labda kwa wazoefu huwa wanapumulia ndani kwa ndaniNjungumawe hata sijawai kuzila.ngoja nijaribu best
mlio wa nokia 1280ukisex hua unatoa mlio gan???
Hahahahaa dah!!!Hhahaa wapi huko??unajua mie niko hom??yaan mie niende kisa Magu yuko moro???Eli kuwa serious bas!
86 nilipunguza kilo 10una kilo ngapi kwa sasa?
Mimi sio feminist.naijua nafasi yangu kama mwanamke mkuuSasa Ushakuwa Uzi wa mapishi huu [emoji848]
Swali langu kwako kwa nini umependa tukuulize maswali umelenga nini haswa cha msingi ?
Je tunaweza faidika na majibu yako kwa namna yeyote kama ndio kivipi hasa ?
Swali la mwisho la kizushi we ni feminist ?
Mbona maswali mengine umeruka ?Mimi sio feminist.naijua nafasi yangu kama mwanamke mkuu
[emoji3][emoji16]naona unatafuta point 3 muhimu siohata kwenye taarifa za habari kuna mda wanaweka matangazo
Unaju hii tabia yako ni dalili za kuwashwa; kuna swali nimemjibia au wewe ndio umedakia.[emoji3][emoji16]naona unatafuta point 3 muhimu sio
Vipi anaulizwa maswali mwengine au we ni personal secretary wake unajibu mengine
Niulize Ambiele Kiviele kama nitaweza
Ukikutana na X wako sehem za Starehe upo tayar kujizuia hisia ?
[emoji16][emoji16] nimeshindwa kusoma gazeti hilo unabwabwaja tu umeandika pumba Dada yangu uliniquote wewe angalia vizuriUnaju hii tabia yako ni dalili za kuwashwa; kuna swali nimemjibia au wewe ndio umedakia.
kwa kifupi maswali yote uliyomuuliza yanaonesha unatafuta bwana mpka unamuonea wivu mleta uzi.
Hivi mtu kama kitu unaona hakina manufaa na wewe kama ulivyomuuliza mleta uzi; unafuata nini? ukiambiwa huo ni umama utasema umetukanwa.