Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Huna kipoozeo?
Yaani kuna sehemu nilienda nikakuta bei ya nyama aina zote ni moja. ukitaka nyama ya mbuzi kilo 6000/- ukitaka ya kitimoto 6000/- ngombe, ukitaka kuku elfu 6 ukitaka nyama ya ngombe bei hiyo hiyo. kimoyo moyo nikajisemea FursaKibao si nikikaa huku nitakuwa na kitambi in no time? baada ya siku 3 nikarudi zangu mjini.
Huko ni Noma kama ATCL ingekuwa inatua basi ungepokea vindoo vya minofu tu.🤣🤣🤣...mie nyama jaman😋😋😋😋!yaan unabadilisha ww .unataka wa kuoka au fried..mwe!
Sina!kiko mbali nw!
Wewe dada acha kudanganya! Si useme tu huna, uko busy na kutafuta pesa![emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji28][emoji28]umejuaje?ukisikia basi...niko loose balaa!ukisikia mtu anatafta nakuomba sana niweke!nisitiri mwanajf mwenzako!
Ndio mkuu nakula japo siipendi sana.ila haiepukikiSwali langu la kijinga tu.
Je, unakulaga mboga iitwayo kabichi (cabbage)? unaipenda?
good, narudia very good......rudi hadi 7586 nilipunguza kilo 10
Why unasema haiepukiki?Ndio mkuu nakula japo siipendi sana.ila haiepukiki
Kwanza umenikwaza sana kutokupenda maharage tuongee mwakani nimenuna😋
Karibu sana mkuu!
Niko kwenye project ya kupunguza uzitoWhy unasema haiepukiki?
Nafuu au urahisi wa kuiandaa?
Uliza mkuuMiss Natafuta bado nina maswali sikuoni?
Najitahidi mkuugood, narudia very good......rudi hadi 75
Jamni nikija kule kwako mm usinipikie maharage jamani!cheza na mazao ya nyamaaa😅😅!
Hofu ondoa kumbuka wote tuna asili ya ufugaji kwa hiyo utapata hata kasungura na side dish maharage ya nazi, kama nakuona ukila huku umeshika tama😂🤣😂. Katika jamii ya kunde napenda sana maharage