MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Na hii hapa chini ndo nini kumbe?MTM still having the same feelings?? I thought they would be changed by now!!!
Ndiyo hiyo hapo chini....................... unayo objection yoyote??Na hii hapa chini ndo nini kumbe?
......Frankly Speaking If this is a dream, I just Wanna keep on dreaming...I Do Love You
Mkuu Mbu sijakulewa hapo juu uliposema sio kwamba ulimpenda san???? how??
Mwj1,...kwa experience yangu (yaliyonitokea) baada ya kudaiwa talaka ilikuwa pigo kwenye maisha yangu, hapo wala sikatai. Siwezi kuelezea hisia na machungu yake, kwani nimetumia miaka zaidi ya mitano nikiomboleza kitendo hiko. Sio kwakuwa ati nilimpenda sana la hasha...ila ile dira na nuru ya maisha yangu ilitoweka. Naomba kuishia hapa, ...it's way too painful kuyakumbuka na kuelezea niliyopitia kiasi kwamba, chance ya kurejeana nae ni pungufu ya 0.0001%
...friends Reunited eeh? acha kabisa mchezo huo kaka.
The day you'll sit together and start piecing together the jigsaw puzzle,
.......You'll realize some pieces missing
and the essentials 'chipped or bent'...
hii thread imenifanya nifikirie mbali sana, cjui itakuwaje....Mbu nae jamani, umenitisha sasa.
Dada mimi niliyonayo moyoni I just wish MTM angeyajua!! Mapenzi haya!
Salama sanaaaaa F80 habari ya wewe?
............and that is the point
Nilifikiria mbali sana jana we acha tu
hehehe! i will mess u up big tyme. kama unataka nianzishe talkshow at ur expense unichape! tena ur photo will be on the logo! afu ww dawa yako naichemsha!
<br />
<br />
I havent changed an inch.....
hadi sasa sijaona justification yoyote ukiondoa Mbu ambaye it seems it was a different experience
I love this thread
Je wewe u nabii??Ah nyamayao na MTM mmanikumbusha dada mmoja aliseparate na mumewe ambaye kwa bahati mbaya au nzuri mumewe alikwenda nje ya nchi, mdada akawa amekaa anasubiria reconciliation only to receive surmon ya mahakamani akidaiwa divorce!!!!
Nyie watu hapo juu.
Mbona mnaligeuza jukwaa pendwa la MMU kuwa jukwaa la mastress?
Maisha mafupi haya hebu kuleni raha acheni kujiumiza vichwa na mambo ya kufikirika na kusadikika. Mapenzi hayana formula moja kwamba mnaweza kupata solution kwa kutumia data zinazofanana....... So stop kufikiria kitu gani utakachofanya ili kuikubali hali halisi wakati kitu chenyewe hakijatokea......... Kikitokea ndo mtihani wenyewe na namna ya kuukabili ndo changamoto yenyewe........:clap2:
MTM hebu njoo hapa Port View tupate ugali na samaki wa kuchoma kwa foil.
Duh! sijui mtoto gani kamchanganyaGreat thinker wetu mweeeee, sinza hii, kuanzia kesho mzee sinza nopole sana MTM....hii issue unatakiwa uwe umejipanga kweli kweli, inaweza ikawa haueni kwako au ikala kwako mazima, depression/pressure etc ucpokuwa makini...siombei mtu aipitie aisee, mwanzoni na mie nilikuwa naona c mnaachana tu, sis wangu alivyoipitia hii kitu na alivyo strong nilijua kweli hili issue unatakiwa uickie kwa mwenzio na mahangaiko ya watoto sasa, weekend hii wapo kwa baba weekend ijayo wapo kwa mama...huko kwa baba tayari kuna step ma...yaani mambo ni vulului vululu..........gosh...hapana aisee.....