Life after a very sweet love/relationship

Life after a very sweet love/relationship

MTM still having the same feelings?? I thought they would be changed by now!!!
 
Na hii hapa chini ndo nini kumbe?

......
Frankly Speaking If this is a dream, I just Wanna keep on dreaming...I Do Love You
Ndiyo hiyo hapo chini....................... unayo objection yoyote??
 
Mwj1,...kwa experience yangu (yaliyonitokea) baada ya kudaiwa talaka ilikuwa pigo kwenye maisha yangu, hapo wala sikatai. Siwezi kuelezea hisia na machungu yake, kwani nimetumia miaka zaidi ya mitano nikiomboleza kitendo hiko. Sio kwakuwa ati nilimpenda sana la hasha...ila ile dira na nuru ya maisha yangu ilitoweka. Naomba kuishia hapa, ...it's way too painful kuyakumbuka na kuelezea niliyopitia kiasi kwamba, chance ya kurejeana nae ni pungufu ya 0.0001%

...friends Reunited eeh? acha kabisa mchezo huo kaka.
The day you'll sit together and start piecing together the jigsaw puzzle,
.......You'll realize some pieces missing
and the essentials 'chipped or bent'...
Mkuu Mbu sijakulewa hapo juu uliposema sio kwamba ulimpenda san???? how??
 
Dada mimi niliyonayo moyoni I just wish MTM angeyajua!! Mapenzi haya!

lakini divorce ni ngumu aisee, hata kama iwe mmechokana but kupitia hii ishu ni shughuli.....damn na ukifikiria na watoto tena chaaa...ote ndao....nhapo ndio wale wanaovumilia kwa ajili ya watoto.
 
MTM, open your eyes and know that love is like a newborn,adored and cherished by all. But when they start growing up all that changes and the change continues to adulthood. On the same breath, dont expect your relationship to be the way it was the first days you met and the more reason you can sit back and reason logically to what is happening compared to when you were blinded by love. Accept to live with her and mend what is threatening your situation through communication instead of coming to the board for advise. You should know better having come from an abusive relationship. Also take a closer look at things that you do or say as we are the cause and effect of what happens to our lives. God bless you.
 
............and that is the point

Nilifikiria mbali sana jana we acha tu

pole sana MTM....hii issue unatakiwa uwe umejipanga kweli kweli, inaweza ikawa haueni kwako au ikala kwako mazima, depression/pressure etc ucpokuwa makini...siombei mtu aipitie aisee, mwanzoni na mie nilikuwa naona c mnaachana tu, sis wangu alivyoipitia hii kitu na alivyo strong nilijua kweli hili issue unatakiwa uickie kwa mwenzio na mahangaiko ya watoto sasa, weekend hii wapo kwa baba weekend ijayo wapo kwa mama...huko kwa baba tayari kuna step ma...yaani mambo ni vulului vululu..........gosh...hapana aisee.....
 
hehehe! i will mess u up big tyme. kama unataka nianzishe talkshow at ur expense unichape! tena ur photo will be on the logo! afu ww dawa yako naichemsha!
<br />
<br />

Haijachemka tu? Au unachemshia kwenye mafiga?
 
I havent changed an inch.....

hadi sasa sijaona justification yoyote ukiondoa Mbu ambaye it seems it was a different experience

I love this thread

nadhani zote zinaathiri kwa namna moja au nyingine, inategemea na uhusiano ulivyokuwa, ki ujumla divorce ni kitu kigumu! imagine 10 yrs inayeyuka hivi hivi na hapo unakuta umetumia jitihada zako zote kuinusuru divorce but imeshindikana, dahhh Mbu kweli kanichanganya, kanifanya nimezidi kuiogopa sana sana hii issue....hivi Mbu ni kwamba mom alikushtukizia hii kitu wakati wewe ulikuwa na wazo kwamba separation itasaidia kuweka mambo sawa sasa ukashtukiziwa na divorce?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ah nyamayao na MTM mmanikumbusha dada mmoja aliseparate na mumewe ambaye kwa bahati mbaya au nzuri mumewe alikwenda nje ya nchi, mdada akawa amekaa anasubiria reconciliation only to receive surmon ya mahakamani akidaiwa divorce!!!!
 
Nyie watu hapo juu.

Mbona mnaligeuza jukwaa pendwa la MMU kuwa jukwaa la mastress?

Maisha mafupi haya hebu kuleni raha acheni kujiumiza vichwa na mambo ya kufikirika na kusadikika. Mapenzi hayana formula moja kwamba mnaweza kupata solution kwa kutumia data zinazofanana....... So stop kufikiria kitu gani utakachofanya ili kuikubali hali halisi wakati kitu chenyewe hakijatokea......... Kikitokea ndo mtihani wenyewe na namna ya kuukabili ndo changamoto yenyewe........:clap2:

MTM hebu njoo hapa Port View tupate ugali na samaki wa kuchoma kwa foil.
 
Kuna kaka yangu causin aliachana na mkewe. Mkewe alikuwa mtata kweli kweli lakini huwezi amini kaka yangu up to now kawa kama chizi japo yeye ndo aliyetoa divorce (ni mfanyabiashara mkubwa sana) mpaka leo hii hamna anayejua anaishi na mwanamke gani tunasikia tu mara yuko na huyu mara huyu. Watoto hawataki hata kumsikia baba yao japo he is crazy for the kids. Tatizo watoto ni wakubwa kwa hiyo they have chosen to stay with their mom.

Ukikaa na mtu muda mrefu ukamwacha ni kama unakuwa umefiwa hivi. Huyu kaka does not want his wife back but he can't move on either. There are few who can handle the situation and mostly women. But most men wanaishia pabaya. Wengi hawawezi ku settle tena. Wengine wanafilisika kabisa.
 
Ah nyamayao na MTM mmanikumbusha dada mmoja aliseparate na mumewe ambaye kwa bahati mbaya au nzuri mumewe alikwenda nje ya nchi, mdada akawa amekaa anasubiria reconciliation only to receive surmon ya mahakamani akidaiwa divorce!!!!
Je wewe u nabii??
 
Nyie watu hapo juu.

Mbona mnaligeuza jukwaa pendwa la MMU kuwa jukwaa la mastress?

Maisha mafupi haya hebu kuleni raha acheni kujiumiza vichwa na mambo ya kufikirika na kusadikika. Mapenzi hayana formula moja kwamba mnaweza kupata solution kwa kutumia data zinazofanana....... So stop kufikiria kitu gani utakachofanya ili kuikubali hali halisi wakati kitu chenyewe hakijatokea......... Kikitokea ndo mtihani wenyewe na namna ya kuukabili ndo changamoto yenyewe........:clap2:

MTM hebu njoo hapa Port View tupate ugali na samaki wa kuchoma kwa foil.

Age mate... tusipoyazungumza, matokeo yake ni kusikia babu kajinyonga kwa kukataliwa penzi, ni lazima tuwe na disaster preparedness department kwenye "masaburi" yetu!!!

Ningekuja mzee lakini niko southern hemisphere kuna winter balaa... nimevaa koti limevunda basi ni hallufu hallufu tu hapa ofisini, watanikoma hadi wikendi

BTW, Leo nimejua ID ya mama ntundwa wangu.... kaniPM akiuliza are you the real real real ???? and i said yes
 
pole sana MTM....hii issue unatakiwa uwe umejipanga kweli kweli, inaweza ikawa haueni kwako au ikala kwako mazima, depression/pressure etc ucpokuwa makini...siombei mtu aipitie aisee, mwanzoni na mie nilikuwa naona c mnaachana tu, sis wangu alivyoipitia hii kitu na alivyo strong nilijua kweli hili issue unatakiwa uickie kwa mwenzio na mahangaiko ya watoto sasa, weekend hii wapo kwa baba weekend ijayo wapo kwa mama...huko kwa baba tayari kuna step ma...yaani mambo ni vulului vululu..........gosh...hapana aisee.....
Duh! sijui mtoto gani kamchanganyaGreat thinker wetu mweeeee, sinza hii, kuanzia kesho mzee sinza no
 
Back
Top Bottom