Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?


[emoji81]🤣[emoji81]🤣
 
Duh, huyo muuaji kabisa.
 
Pole maa dah
 
Hii nimeikubali
 
Hahahahahah

Duh shukuru miaka hiyo hamna uwizi Sana Kama kipindi hiki
 
Dah pole aisee.... Kwann using walipa kwa mpesa??
 
Wewe ulikuwa mpumbavu tu. Na ningekuwa baba ako ningekutandika viboko!
 
Nimechelewa kuuona huu uzi.
Anyways, nakumbuka wakati nimemaliza form 6, nilikua na urafiki wa kuheshimiana sana na binti fulani hivi, ambae pia alikua ni demu wa mshikaji wangu.
Sasa bwana siku hiyo nikawa nimeenda kwao, akawa ameniambia nibebe na CD ya movie yoyote interesting.
Nimefika kwao walikwepo na wadogo zake wawili na dada yao mkubwa... Piga pia story pale, ile CD niliyokuja nayo ikawekwa.... Kumbe ilikua ni ya porno bwana...
Aisee kumbe nilichanganya madesa wakati nabeba ile CD, nikawa nimechukua CD ya porno. Ilikua ni aibu ya mwaka aisee, waliniona wa ajabu kishenzi wale watoto wa kike, hasa yule dada yake yule binti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Duuh wewe ligendariii aiseee....
 
Kuna rafiki yangu wa kike (Sio Girlfriend) aliweka whtsp status ya rafiki yake mwanamke aliyevaa kimini na wkt hana ushepu, sasa mimi nikaichukua ile nikaituma ktk group la jamaa wa ofisini kulikuwa na mada kuhusu mavazi ya wanawake huku mie nikimtolea mfano huyo mdada pasipo kufahamu kuwa ni mke wa staff mwenzetu na yeye yupo ktk group. Mara paap naona washikaji wananitumia sms inbox kuwa kaka unaharibu, umepatwa na nn mbona unatolea mfano mke wa Flani amekukosea nini au umelewa upo vyombo hapo ulipo? Kumbe masikini ya Mungu mimi sikuwa nafahamu, jamaa naye akaja inbox akaniambia "Ahsante kaka nashukuru sana". Nilijisikia vibaya kila nikijaribu kum-please kuwa sikuwa najua jamaa hapokei simu wala hajibu sms, na kipindi kile whatsapp haikuwa na feature ya kudelete sms kama ilivyo sasa. Sitakuja sahau aisee hilo jambo..
 
Noma sana mzee[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ule msemo wa unatamani ardhi ipasuke uingie ndo niliuelewa kwenye hili tukio.
Sasa ilianza Direct kwenye Kugongana na makelele??? Labda ingeanza intro ya kawaida ungeshtuka japo still ungekuwa ushaaribu so ikawaje uhusiano wako na ile familia..
 
dah hii ni hatari .Ulimuumiza sana mchizi
 
Kama anavaa vibaya hukuwa na kosa lakini kama ulileta habari za kumponda hana shape duu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
 
Duuuuh hii hatari mzee baba
 
Mi nilipata fedhehea kwa hawa mawakala wa kutoa pesa .Jamaa aliniwekea kipande nusu cha hela.Nimetoa hela ,nimefanya mizunguko yangu kutulia naona elfu kumi nusu nikasema nirudi kwa wakala tukayajenge.Jamani ,jamani kumueleza tu yule wakala wacha aanze kupayuka "tapeli mkubwa wewe,unapenda vya dezo mara mashamba yapo kibao,watu tunahangahika na jua lote unataka kutuibia kipimbi,ikawa tena huyu kwa sura tu anaonekana ni tapeli lililokubuhu.Akapata sapota ya wenzake,watu kibao mjini hapo.Nilikuwa mdogo kama piritoni.Sasa hivi niko makini sana kwenye hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…