Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 479
- 727
Kamwiche ,mbegu,luhigo na lutechura ndo sjawai waskia Ila wengine wapo...Same as me
Nakushauri ukimaliza jitahidi uende law school mapema masharti yanaenda kuwa magumu mbeleni wameanza na kupandisha ada wanahamia kwenye mtihani ndio uwe admitted wataongeza jingine ili iwe ngumu kusoma usiogope kwamba watu wanafeli first sit
Kwenye sheria jitahidi kujichanganya na hasa mawakili wazoefu hata kama bado haujawa wakili utapata njia
Muzahula yupo?
Katabalo vipi?
Sr ngonyani yuko hapo?
Je Jiniazi masoud yupo?
Wanangu kina Mwita, kawiche, mwasi mbegu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Luhigo yupo?
Lutechura yupo?
Je mnoko sunga?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi Sheria nmesoma tu sabu Ila ilkua so chaguo langu nliapply coz course nyingne zlikua full na nliapply awamu ya tatu baada ya kupata boom 100%nlivyofika nilikaziwa kubadili ko nkaamua tu kukaza,natamani tu nmalize.
mazngira ya home hayaruhusu kuendelea Cha mno after chuo Ni kujtafta tu kitaa iktokea nmepata pakujishikiza kupitia nlichosomea fresh Ila sitegemei kabsa