Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

Hahah karibu tena mitaa imechangamka san hasa boom likitoka unaeza dhani hongkong
[emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi nakuaga na mda jpili tu ndio hua napitaga hiyo mitaa mpaka kwa inno mazulia kule nakuta kumepoa sana hakuna maajabu kama zamani. Naishiaga kupita pale galaxy nanyonya movie au series mpya kwa washkaji nasepa zangu.
 
Pole,

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha si kweli pita mida ya sa 1hadi saa3 usiku...ukitaka pisi tega geti la njano
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka nilipokua dar la 6 kipindi hicho kuna dem mkali sana mtaa wa chini huko tulikua tunamfukuziaga watu wengi tu ni msomali ile pisi ni kali nyie acheni.

Basi bana kutokana na utoto me niliandika barua ya mapenzi nikaamua kuitunza chini ya kochi nikisubiri kesho niipeleke. Si nikasahau bana maza sijui alikua anafanya nn akaiona akamuonesha na mshua dah niliona aibu sana yani maana kila nikizingua hom mother alikua anakumbushia ananipa mabango hata mbele za watu dah
 
Dah huu uzi unachekesha sana.

Nililamba 0 somo flani ivi test ya kwanza kmmk niliona aibu sana. Ila alhamdulillah mtihani wa mwisho niliongoza na wale waliongoza test ya kwanza walilamba maksi mbovu mtihani wa mwisho. Achekae mwisho hucheka sana.
 
Mwaka juzi nilipataga msnzi ni staff mwenzangu wote kada ya Afya japo yeye alinikuta ninakama miezi 7 hivi katika hiyo Private HC


Sasa nikawa namazoea ya kwenda kulala kwake maana mimi kutokana na kitengo chabgu ilikuwa lazima niwe naishi Kwenye nyumba za watumishi hayo maeeno ilipo kituo cha kazi, sasa siku moja asubuhi manzi akaenda kazini afu mimi nilikuwa siendi na akaniacha nimelala ile nastuka mkojo unabana balaa nikasema ngoja niende uaani ilikuwa ni ile ya kushare wapangaji, nikakuts mafundi wanarekebisha sijui nini nikazuga zuga hapo nikatoka nje kuangaza angaza nikaona kuna toilet ya nyumba ya pembeni kidogo ambayo mara nyingi nilikuwa naona imefungwa ila sikuhiyo hakuna kifuli nikaingia nakutana na mzigo mkibwa haswaa afu kama sio muda mrefu uneshushwa basi nikaona sio kesi wapi niende nikamaliza shida zangu ile natoka tu sijui mwenye nyumba alikuwa ananilia timing


Aiseeh kale kabibi kalianzia kunisema toka kapo ndani ksake hadi nje kaliongea maneno ya shombo sana kujitetea nashindwa basi nikabaki nafedhea tu ikabidi nichukue maji niflash kishingo upande japo mwenye nyumba anayokaa Manzi angu alijaribu kumsihi sana anisikilize lakini wapi

Hiyo scenario sikumwambia hata manzi angu na nikawa sina amani kabisa ya kufika yale maeneo tena
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ndo maana ya mshikwa na ngozi ndo mla nyama
 
Ile bar plasma karibia na nyegezi corner bado ipo
Ipo asee...Kuna jamaa gay[kabla skujua ka Ni upinde] alinichukua Toka huku maduka 9 akidai amepotea nmpeleke Hadi chuo..tumefika akataka tukafurahi kidg tulienda plazma tukakata bia kadhaa baadae anatka nkamle nyuma kmmk bia zilikata...nkamnawa nkarudi gheto mida ya sa sita usiku,plazma ipo mkuu...game ya Bayern na borrusia nliangalia apo Bayern Munich alishinda japo Sjui walishinda ngp make yule jamaa alikua Ana ananipiga maswali ya kipuuzi japo kabla skushtka Ila nlipojua Nia yake habar yake ikaishia hapo..
 
Mmilki wa hapo alikuwa na utaratibu wa kuweka wahudumu pisi kali sana hapo 😄
 
Acha hiyo michezo
 
 
Sidhani kama kutokujua ku scan ni aibu sema ulijishtukia tu, hii ilinikuta pia kigamboni pale kivukoni na zile kadi zao ila mi niliuliza na hakuna aliyenishangaa
sikuhizi nmekua sioni aibu mkuu
mana maisha yenyewe haya yanatupeleka mputa mputa sijali wala nini
nauliza tu au nasema sijui nisaidieni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni aibu juu ya aibu Masta
 
Ahahaaaaa asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…