unawish kama mimiπππ na akarudi home mkavuuuu hata kuwaambia kakutana na aposto kwenye tangawizi. Hahaaaa mi nampenda sana. I wish @Analyze atuletee story nyingine ambayo mzee atakuwepo na visa vyake
Kumbe tupo wengi tunaomkubali. Mzee ana misimamo yake ila yuko poa sana.
Kumbe Kuna story mpya na sijui wooi ngoja niisomeAposto kwa kumega kisela na kubwaga manyanga uko vyedi πππ
Haya muendelezo saa ngapi?
Halafu angalia kwenye folder lako km kuna story mupya utuwekee wasomaji tunasubiri π€£
Missy Gf bff njoo tusome story ya Ester huku.!
Makosa hutokea ili kutufunzaYani we nyau ulipata ESTHER wako wa kwenye bible aiseeh!
Ila sijui kwanini wanawake wa aina hii hukutana na wanaume wehuuuuu!
Kabla dunia haijanionesha how evil it can be, nilikuwa this kind of a woman
Siku hizi!
ehehehehhehehe
Tatizo raia mnakuwaga na jazba sana majukwaani, hamtaki story ichelewe au dharura isitokee.Isiwe ya mwisho kama unavyodai APOSTO, sema kila utakapobarikiwa muda utakuwa unaleta story maana zina mafundisho na sanaa ya kuvunja mbavu. Marehemu @leadermore aliandika hadi siku anaenda hospital hivyo nawe fanya kwa ajili ya fans wako tafadhali.
Kwa niaba ya jf membaz wote.
Sawa mkuuDah, hii taarifa mbaya kwa tunaokukubali Mr legend bwana aposto swahiba wa mzee dingi na mwanafunzi wa mzee keshoyetu(my) ππ
Usiache kuandika, tutakuvumilia. Mi napenda story za mzee wako na mke wake, πππ maana hatakagi mmletee shobo kwa mkewe eti kisa mamaenu.
Acha hiyo tabia mkuu, waache watoto wasomeHavijui mapenz,lakin vinavutia kuwa nako hata kama hukatomb ni bonge la raha
Vijana wa mjini wanasema uwe tayari kwa kila hali, ukiitwa madame sawaaa, shangazi sawaaa mwengine anamalizia na kukuita mama kabisaaaπππSawa tu,
ahahahahahhaa we haya maisha mi hata nataka kubishana na mtu.
Na wewe ulipaka mafuta ya nazi ukatulia tuli kumsubiri virgin kama mtoa uzi?Early 20s nilibahatisha kuwa na manzi virgin.
She was so smart ananiambia kabisa uwe gentle ukiniumiza tunaachana, it took two days mnyamwezi nikatoa seal, siku ya kwanza ilishindikana nikaendelea ya pili.
Ni maelewano tu.
Sasa hadi mnaanza na kung'atana tena... Duh!!