Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Aposto kwa kumega kisela na kubwaga manyanga uko vyedi 😂😂😂
Haya muendelezo saa ngapi?
Halafu angalia kwenye folder lako km kuna story mupya utuwekee wasomaji tunasubiri 🤣

Missy Gf bff njoo tusome story ya Ester huku.!
Kumbe Kuna story mpya na sijui wooi ngoja niisome
 
Yani we nyau ulipata ESTHER wako wa kwenye bible aiseeh!
Ila sijui kwanini wanawake wa aina hii hukutana na wanaume wehuuuuu!

Kabla dunia haijanionesha how evil it can be, nilikuwa this kind of a woman

Siku hizi!
ehehehehhehehe
Makosa hutokea ili kutufunza
 
Isiwe ya mwisho kama unavyodai APOSTO, sema kila utakapobarikiwa muda utakuwa unaleta story maana zina mafundisho na sanaa ya kuvunja mbavu. Marehemu @leadermore aliandika hadi siku anaenda hospital hivyo nawe fanya kwa ajili ya fans wako tafadhali.
Kwa niaba ya jf membaz wote.
Tatizo raia mnakuwaga na jazba sana majukwaani, hamtaki story ichelewe au dharura isitokee.
 
Early 20s nilibahatisha kuwa na manzi virgin.
She was so smart ananiambia kabisa uwe gentle ukiniumiza tunaachana, it took two days mnyamwezi nikatoa seal, siku ya kwanza ilishindikana nikaendelea ya pili.

Ni maelewano tu.

Sasa hadi mnaanza na kung'atana tena... Duh!!
 
Dah, hii taarifa mbaya kwa tunaokukubali Mr legend bwana aposto swahiba wa mzee dingi na mwanafunzi wa mzee keshoyetu(my) 😁😁

Usiache kuandika, tutakuvumilia. Mi napenda story za mzee wako na mke wake, 😁😁😁 maana hatakagi mmletee shobo kwa mkewe eti kisa mamaenu.
Sawa mkuu
 
Sawa tu,
ahahahahahhaa we haya maisha mi hata nataka kubishana na mtu.
Vijana wa mjini wanasema uwe tayari kwa kila hali, ukiitwa madame sawaaa, shangazi sawaaa mwengine anamalizia na kukuita mama kabisaaa😆😆😆
 
Early 20s nilibahatisha kuwa na manzi virgin.
She was so smart ananiambia kabisa uwe gentle ukiniumiza tunaachana, it took two days mnyamwezi nikatoa seal, siku ya kwanza ilishindikana nikaendelea ya pili.

Ni maelewano tu.

Sasa hadi mnaanza na kung'atana tena... Duh!!
Na wewe ulipaka mafuta ya nazi ukatulia tuli kumsubiri virgin kama mtoa uzi?
 
Back
Top Bottom