Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Kuna wengine hawatuliii hadi uzeen
 
Sijawahi kujuta kusoma uzi wako, next niweke kwenye taglist.
 
Yeah ni muda wa kutulia sasa, kama fujo nimeshazifanya sana

Ila hapo mwishoni jinsi ulivyomalizia, nimejikuta nacheka peke yangu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Bora ukutane na veteran kuliko mtakatifu Simioni akubadilikie ndani utajuta! Kuna mtu namfahamu hakuwa na hizi mambo za wanawake kihivyo akaoa, miaka ya mwanzo akawa mume mwema ila hili pepo lilipomuanza aroooo mpaka sasa kashampelekea mkewe watoto 5 kwa wamama 4 tofauti hao ni waliopelekwa pale home achana na ambao hawajapelekwa matukio ni mengi, kuna time mke mjamzito akaletewa mtoto wa miezi 6, ...... House maids hao usiseme wengine wanatoleshwa mimba wengine kazaa nao yani ile ndo mbwa kabisa, alivyo na bahati bado mke yupo nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…