Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Hapo vikao vya familia vitakuwa haviishi. Unakuta mke kalalama mwishowe kaamua kukaa kimya
 
Mshua wangu ndio angekuwa Mshua wako, siku ya kikao lazima angekuchapa na viboko 😅😅
wangu alinitimua mbona.
Asingeshikwa angenitandika kweli, akaishia kunitimua , sa nilibisha basi nikaondoka fresh tu.

Sikumuona ka miezi sita hivi, akaniita sikwenda
siku naenda nimeanza kujenga kwangu.
Alilalamika yeye, mkewe ,dada zake.
Hata sasa hatuna uhusiano mzuri viiiiile, nimeaibisha familia kwa kuacha ndoa.
Mi hata sijali, hamna mtu anajua nilikuwa napitia nn bana!
Watajiadjust tu with time.
 
Kwani unadhani Analyse ataacha kabisa? Vurugu zipogo tu, sema kimyakimya.
 
Ngoja tuburudike na simulizi
 
Ila uwa inakuwa ni tabia ya mtu tangu awali ila haukuigundua penzi likiwa jipya kuna uchafu mwingi uwa unfichwa ukishazoeleka sasa ndiyo utaelewa rangi halis ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…