Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Ujumbe umefika, tena ukiwa bado wa moto moto. Ila usimtukane sana, huwezi jua labda ndio future hubby wako 😎😎😎
fyucha habiiii ya nyoo....., nitakuwa nao wangapi, si itaota sugu sasa🀣🀣 kwa udhamini wa mama Husna
 
fyucha habiiii ya nyoo....., nitakuwa nao wangapi, si itaota sugu sasa🀣🀣 kwa udhamini wa mama Husna
Umefanya nimecheka bado kidogo nimeze toothpick πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Sugu inaweza kuja hata ukiendesha baiskeli tu πŸ˜…
 
Tena ukute kijana kakamia kama vile ushakula sana nauli zake, lazima uombe maji πŸ˜… πŸ˜…
Na maji yenyewe hupewi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…lazima iwake moto sasa tabu yote ya nini! Nimependa maza hakuwa mkamiaji kihivyo, japo kaniboa kukupeleka ukakae meza moja na danga lake,
 
Na maji yenyewe hupewi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…lazima iwake moto sasa tabu yote ya nini! Nimependa maza hakuwa mkamiaji kihivyo, japo kaniboa kukupeleka ukakae meza moja na danga lake,
Kwamba hata muda wa kukupa maji hana πŸ˜…πŸ˜…

Mashangazi hayakamiagi shoo, huwa ni aste aste tu maana sio vita.
 
Aiseee hii isikie kwa mwenzako tu kudadekiπŸ˜‚​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…