Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fyucha habiiii ya nyoo....., nitakuwa nao wangapi, si itaota sugu sasa🤣🤣 kwa udhamini wa mama HusnaUjumbe umefika, tena ukiwa bado wa moto moto. Ila usimtukane sana, huwezi jua labda ndio future hubby wako 😎😎😎
Fortyseven kuna swali umeulizwa hukuAtawezana lakini?
Kobilo ni noma wewe kwa kuweka sugu ya kudumu😅😅Umefanya nimecheka bado kidogo nimeze toothpick 😅😅😅😅.
Sugu inaweza kuja hata ukiendesha baiskeli tu 😅
Na maji yenyewe hupewi 😅😅😅lazima iwake moto sasa tabu yote ya nini! Nimependa maza hakuwa mkamiaji kihivyo, japo kaniboa kukupeleka ukakae meza moja na danga lake,Tena ukute kijana kakamia kama vile ushakula sana nauli zake, lazima uombe maji 😅 😅
Nadhani unanifahamu vema🤣Fortyseven kuna swali umeulizwa huku
Kwamba hata muda wa kukupa maji hana 😅😅Na maji yenyewe hupewi 😅😅😅lazima iwake moto sasa tabu yote ya nini! Nimependa maza hakuwa mkamiaji kihivyo, japo kaniboa kukupeleka ukakae meza moja na danga lake,
Aje nimlee asipate shida mshangazi nipo hapa🤣Kijana Yuko vizuri, ushindwe wewe tu 😅
Fortyseven zali limekuangukiaAje nimlee asipate shida mshangazi nipo hapa🤣
Mengi mabonge yanawahi kuchoka ndo maana hayakamii shooKwamba hata muda wa kukupa maji hana 😅😅
Mashangazi hayakamiagi shoo, huwa ni aste aste tu maana sio vita.
Una experience nzuri sana kwenye maisha yako though ina makandokando mengi ila naamini yamekutengeneza sana kuwa jinsi ulivyo leo, akili yangu inaniambia for now wewe ni mtu bora sana. Hongera kwa kuchomoka salama kwenye mitikasi yote hiyoNaam mkuu
Ester: "Uliniambia simu yako imezima chaji ila nilivyoichomeka imeonesha ina 44%. Maana yake haikuzima, bali ilizimwa. Simu yako nimekuwekea kwenye chaji, ila laini zako nimeziweka kwenye simu yangu. Hivyo hizi msg zote na simu unazozisikia ni za kwako, upo tayari nipokee na kuweka loud speaker au hizi msg tuzisome wote?"