Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Ujumbe umefika, tena ukiwa bado wa moto moto. Ila usimtukane sana, huwezi jua labda ndio future hubby wako 😎😎😎
fyucha habiiii ya nyoo....., nitakuwa nao wangapi, si itaota sugu sasa🤣🤣 kwa udhamini wa mama Husna
 
fyucha habiiii ya nyoo....., nitakuwa nao wangapi, si itaota sugu sasa🤣🤣 kwa udhamini wa mama Husna
Umefanya nimecheka bado kidogo nimeze toothpick 😅😅😅😅.

Sugu inaweza kuja hata ukiendesha baiskeli tu 😅
 
Tena ukute kijana kakamia kama vile ushakula sana nauli zake, lazima uombe maji 😅 😅
Na maji yenyewe hupewi 😅😅😅lazima iwake moto sasa tabu yote ya nini! Nimependa maza hakuwa mkamiaji kihivyo, japo kaniboa kukupeleka ukakae meza moja na danga lake,
 
Na maji yenyewe hupewi 😅😅😅lazima iwake moto sasa tabu yote ya nini! Nimependa maza hakuwa mkamiaji kihivyo, japo kaniboa kukupeleka ukakae meza moja na danga lake,
Kwamba hata muda wa kukupa maji hana 😅😅

Mashangazi hayakamiagi shoo, huwa ni aste aste tu maana sio vita.
 
Ester: "Uliniambia simu yako imezima chaji ila nilivyoichomeka imeonesha ina 44%. Maana yake haikuzima, bali ilizimwa. Simu yako nimekuwekea kwenye chaji, ila laini zako nimeziweka kwenye simu yangu. Hivyo hizi msg zote na simu unazozisikia ni za kwako, upo tayari nipokee na kuweka loud speaker au hizi msg tuzisome wote?"
Aiseee hii isikie kwa mwenzako tu kudadeki😂​
 
Back
Top Bottom