Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Na alijua kukuweza [emoji23]Wanawake wa uswazi wengi wanakuwaga jau sana [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na alijua kukuweza [emoji23]Wanawake wa uswazi wengi wanakuwaga jau sana [emoji28]
ntakununulia ingine uvae kisha tuku thaminisheNapendezaje na batiki sasa? 😅
nitakuletea😂😂Hata kwa bunduki, huwezi nivalisha batiki tena 😅😅
Jamaa alikua na wenge SanaAaah baba Husna ulipatwaaa nimecheka hapo kwenye kuhakikiki kobilo kwa kuchungulia porn kweli uliteseka
Hahahaha sawa😆Punguza hasira 😅😅😅
Acha hizo basi , unajua Mimi ni pacha wako? [emoji28][emoji28]
Eti tufanye jamaa hajapata suluhuhisho hahahahahah! Apostle😂😂
Nimecheka sana hapo ulipokuwa unambishia Juma kuwa hiyo issue siyo yako ni ya jamaa..!!
Haha..Eti tufanye jamaa hajapata suluhuhisho hahahahahah! Apostle
Mama Bahati na yenyewe ilikuwa injini. Sema ndio hivyo muda mchache mambo mengi mkuuMimi choka mbovu kwa akili zangu timamu na kwa kutambua mi na analaiza tunatoka ukanda mmoja na kutambua harakati zake za kujitambua na kufundisha wengine na kutokana na vibarua ninavyofanya stori ya mama bahati baada ya kulipwa ujira wangu wa vibarua nitadhamini story hiyo kwa noti moja nyekundu halali kwa malipo ya kitanzania. Nielekezwe tu namna ya kuhalalisha malipo hayo. Ni mimi chokambovu