Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Mimi choka mbovu kwa akili zangu timamu na kwa kutambua mi na analaiza tunatoka ukanda mmoja na kutambua harakati zake za kujitambua na kufundisha wengine na kutokana na vibarua ninavyofanya stori ya mama bahati baada ya kulipwa ujira wangu wa vibarua nitadhamini story hiyo kwa noti moja nyekundu halali kwa malipo ya kitanzania. Nielekezwe tu namna ya kuhalalisha malipo hayo. Ni mimi chokambovu
 
Mama Bahati na yenyewe ilikuwa injini. Sema ndio hivyo muda mchache mambo mengi mkuu
 
Back
Top Bottom