Kwakweli aisee....hazijakuua ili tufaidi story zako...ishi sana kaka...unaandika mpk na sisi tunajihisi kama tupo ndani ya story..Kama hazijaniua mpaka sasa, basi haziniui tenaaa π π π
Zimeishia kunipa hasara tu
Hata zingekuwepo nisingekubali kupiga. Kwanza yule Mama ambae nilivaa shati la mumeww, kila muda alikuwa anakuja kuniangalia. Sasa sijui alihisi nitalichafua au vipiKwenye hiyo ngoma mlikoenda hamkupiga picha baba Husna, tuone shati la batiki lilivyokuogesha π€£π€£π€£π€£
We mjinga umefanya nimecheka sana ππHata zingekuwepo nisingekubali kupiga. Kwanza yule Mama ambae nilivaa shati la mumeww, kila muda alikuwa anakuja kuniangalia. Sasa sijui alihisi nitalichafua au vipi
Hapana kwakweli πππWewe ungeweza kuzidaka? π π
Kwanza rangi yenyewe ilikuwa mbaya, nyeupe na dhambarau. Alafu nimelivaa juu ya t shirt yangu. Hata kwa bunduki wasingeweza kunipiga pichaWe mjinga umefanya nimecheka sana ππ
Shati halina vigungo si kijora njiwa iko?!!
Wakati naisoma kabla sijafika ulipoelezea muonekano wake tyr nilijua ni bonge halafu jeusi πππ
Nilivyofika iko kipengele utabiri wangu ukatiki nilicheka sanaβaa.!!
Hii story yako imenivunja mbavu